Kwanini India katika kila vita hushindwa vibaya sana

Vita Kama mechi za Yanga na simba ni kuoteana tu
Yanga hawa hawa utopolo ambao wanasheherekea juzi wamepostiwa na ile timu kutoka la liga, yanga hii mganga anaheshimika kuliko mchezaji au unazungumzia yanga ipi🚶‍♂️
 
Ww umeweka ushabiki ,tafsiri yangu siyo hiyo.
Yanga hawa hawa utopolo ambao wanasheherekea juzi wamepostiwa na ile timu kutoka la liga, yanga hii mganga anaheshimika kuliko mchezaji au unazungumzia yanga ipi🚶‍♂️
 
Baba wachina si unajua wazee wa huu haa, inaonekana wahindi walikula fimbo zile za maghati rudisha nyuma.
 
India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake.

Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa mwaka jana na jirani na hasimu yake mkubwa,Pakistan kwanza ndege zao zilikosea shabaha na wakatoa takwimu bandia ambazo baadae zilikanushwa kwa ushahidi na Pakistani.

Katika mashambulizi yale rubani wake mmoja alitunguliwa na Pakistan na kushikwa mateka mpaka pale Pakistan walipoona huruma na kumrudisha kwao akiwa amenyongeka kwa aibu.

Juzi tena katika kushambuliana eneo la Ladakh mpakani na China walipigwa kwa magumi na mafimbo mpaka askari wake India wapatao 20 wakafa na idadi nyengine kushikwa mateka na China na hatimae kuachiwa huru hapo jana.

Katika mapigano hayo India bila aibu imekubali kuwa askari wake 20 kweli waliuliwa na China na wala haikusema iwapo waliweza angalau kumjeruhi angalau mmoja wa upande wa pili.Sijui ingekuwaje kama China wangeamua kutumia silaha za moto.

Stori za kahawa ndo unaleta humu?? Fatilia vita za pakistan na india uone nani anayepigwa mara nyng acha ushabiki .. tafiti kwanza
 
Yaani hao wadosi 20 waliokufa ni mkono tu hamna hata risasi moja imepigwa
halafu wadosi kwenye TV chaneli zao wanasema wachina 45 wemekufa, duhh
hamna hata habari moja kwenye mitandao ya kimataifa kuthibitisha huu uporo
BJP ni Trump in India, kila kitu cha ukweli ni FAKE NEWS.
 
Kuna nyingine taarifa sijui nilisoma sehemu nimepasahau! Inahusu India walirusha na wenyewe Ile kitu inayoendaga mwezini, sasa bwana sijui walicheck kwenye computer science zao.

Wakasema mwezini kuna maji mengi sana! Lakini Pakistan wakaja kukanusha na kuutangazia ulimwengu kwamba mbona kitu chao hicho cha India kimeanguka kipo baharini. Sasa wenyewe India walijua mwezini kuna maji kumbe kitu kipo baharini kimeanguka🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 oo oo oo oo ops my mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 duh Alhamdulillah nimeianza siku vizuri
 
Sio kweli kwamba India imeshindwa kila Vita, Kama ingekuwa kweli basi eneo lote la Kashmir lingekuwa ardhi ya Pakistan.

Isitoshe India iliisaidia Sana Bangladesh kwenye Vita vyake vya kujitenga na Pakistan na iliteka wanajeshi wengi wa Pakistan katika historia ya Vita.

Isitoshe jeshi la India linashiriki sana kwenye operesheni za kulinda amani za kimataifa mfano huko DRC kwenye kikosi cha walinda amani (MONUC) India imechangia askari wengi sana hata vifaa kama helikopta, magari.
 
Wale wanajua kucheza Nachi tu,,,vita siyo hobby yao,,mchina aliwatembezea kipondo hatari,,na wahindi ndo walimfata mchina kambini
 
India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake.

Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa mwaka jana na jirani na hasimu yake mkubwa,Pakistan kwanza ndege zao zilikosea shabaha na wakatoa takwimu bandia ambazo baadae zilikanushwa kwa ushahidi na Pakistani.

Katika mashambulizi yale rubani wake mmoja alitunguliwa na Pakistan na kushikwa mateka mpaka pale Pakistan walipoona huruma na kumrudisha kwao akiwa amenyongeka kwa aibu.

Juzi tena katika kushambuliana eneo la Ladakh mpakani na China walipigwa kwa magumi na mafimbo mpaka askari wake India wapatao 20 wakafa na idadi nyengine kushikwa mateka na China na hatimae kuachiwa huru hapo jana.

Katika mapigano hayo India bila aibu imekubali kuwa askari wake 20 kweli waliuliwa na China na wala haikusema iwapo waliweza angalau kumjeruhi angalau mmoja wa upande wa pili.Sijui ingekuwaje kama China wangeamua kutumia silaha za moto.
Kachori azijawahi kuwaacha salama kina kanjibai mdebwedo
 
Kina kanjibai mdebwedo wanajua kliketi tu wakazani na kareti wanajua wakamvaa kong fu drunken master shivo. Acha waone maono
 
Wale wanajua kucheza Nachi tu,,,vita siyo hobby yao,,mchina aliwatembezea kipondo hatari,,na wahindi ndo walimfata mchina kambini
India ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi hapo Asia Kusini angalia historia yake ya kijeshi na hasimu wake Pakistan.

Hata hapo DRC angalia India ilivyojitolea kwenye kikosi cha MONUC.
 
India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake.

Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa mwaka jana na jirani na hasimu yake mkubwa,Pakistan kwanza ndege zao zilikosea shabaha na wakatoa takwimu bandia ambazo baadae zilikanushwa kwa ushahidi na Pakistani.

Katika mashambulizi yale rubani wake mmoja alitunguliwa na Pakistan na kushikwa mateka mpaka pale Pakistan walipoona huruma na kumrudisha kwao akiwa amenyongeka kwa aibu.

Juzi tena katika kushambuliana eneo la Ladakh mpakani na China walipigwa kwa magumi na mafimbo mpaka askari wake India wapatao 20 wakafa na idadi nyengine kushikwa mateka na China na hatimae kuachiwa huru hapo jana.

Katika mapigano hayo India bila aibu imekubali kuwa askari wake 20 kweli waliuliwa na China na wala haikusema iwapo waliweza angalau kumjeruhi angalau mmoja wa upande wa pili.Sijui ingekuwaje kama China wangeamua kutumia silaha za moto.
katika vita ya juzi China pia walikufa askari zaidi ya kumi.
 
Wale wanajua kucheza Nachi tu,,,vita siyo hobby yao,,mchina aliwatembezea kipondo hatari,,na wahindi ndo walimfata mchina kambini
Si unaona hata matapeli wakitaka kuchukua kutoka kwa wahindi huwaendea kama askari.Mambo ya vita na ugomvi hawapendi.Wakitaka kujionesha kidogo basi huenda kule Kashmir wakakamata mpaka akinamama .
 
India ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi hapo Asia Kusini angalia historia yake ya kijeshi na hasimu wake Pakistan.

Hata hapo DRC angalia India ilivyojitolea kwenye kikosi cha MONUC.
India,Nepal ,Bangladesh wanajeshi wako wengi wako Congo, tena maeneo yao yako strong sana
 
Back
Top Bottom