Kwanini inachukuwa muda kuwashughulikia wanaofanya utapeli huu?

Miss Champagne

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,155
6,303
Mbona bado a naendelea tu?

Bado yupo tu unatumia huruma za watu wema kujinufaisha isivyo halali

Nani kashapokea ujumbe kama kutoka kwa huyu mtu

Screenshot_20210212-092153.jpg
Screenshot_20210212-092153.jpg
 
Sijawahi kupokea ujumbe huo, lakini hata kama nikipokea siwezi kutuma pesa kwa mtu nisiye mfahamu.
Wewe utasema hivyo, ila kwa mtu ambaye ana dada yake anaitwa Jenifa na ambaye kweli huwa wana hali ngumu kiasi kwamba hata simu huwa hana huyo Jenifa, anaweza akatuma bila hata kupiga simu..., fikiria nje ya upeo wako kabla ya kucomment
 
Kuna mtu alipokea ujumbe huu kama ulivyo nadhani ni 2017,akasema roho ya utu tu imeniingia ngoja niwatumie angalau wapate hela ya kula...akawatumia
 
Back
Top Bottom