hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,437
Habari...
Yawezekana nisieleweke hapo juu kwenye heading lakini vyovyote utakavyoiweka sawa tu ilimradi utanielewa kwenye maelezo
Unakuta neno la Kiingereza linakuwa na tafsiri (definition) zaidi ya moja na neno hilohilo ukienda kwenye Kiswahili chake unakuta maana (definition) zaidi ya moja (hasa mbili) kwa neno moja
Sasa tuseme hiyo ni kawaida lakini ninachoshangaa mimi ni hiki;
Inakuwaje definition mbili tofauti kwa neno moja la Kiingereza zije ziendane/zifanane (yaani zimaanishe kitu kimoja kilekile) sawa na definition mbili nyingine tofauti za neno moja la Kiswahili?
Natoa mifano miwili hapa
1.FAST- FUNGA
(a)fix or attach firmly
-shikiza kwa uimara
(b)abstain from food and drink from dawn to dusk, ...
-jizuia kula na kunywa tangu mawio mpaka magharibi, ...
2.CAMEL-NGAMIA (NG'AMIA)
(a)large, long-necked ungulate mammal of arid country, ...
-mnyama mkubwa mwenye shingo ndefu na kwato pana anayetumika kwa usafiri sehemu za jangwani
(b)an apparatus for raising a sunken ship, ...
-zana maalum ya kuvutia meli inayozama
Nawasilisha