Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Haswa, wakiona wanawake waliosoma hawana heshima basi waende wakaoe hao wanawake wasiosoma ambao wanaona ndiyo wana heshima tatizo kaka zetu wanaishia kulalamika tu humu mitandaoni lakini kwenye uhalisia hawachukui hatua zozote na yote hiyo ni kwa sababu wanataka wapate wanawake wakamilifu ili hali wao wenyewe siyo wakamilifu na wanajua kabisa kwamba duniani hakuna binadamu mkamilifu.
Utampata vipi mkamilifu wakati wewe mwenyewe una 30% wapi na wapi ! Tutabanana humo humo kila mtu achukue wakuendana naye, baba zao walivyo wanyanyasa mama zao na hawakuwa na pakusemea wanataka na sahizi iwe hivyo hivyo sio sawa kabisa, kuwa mme bora hata mke bora atakuwepo hiyo misalaba wasibebeshe wanawake
 
Yaani huwa nashangaa, unakuta limtu linafumaniwa huko wakilibamiza maumivu linaenda kuugulia kwa mkewe,
unajuliza na kukosa majibu
Halafu pia huwa wananishangaza sana, yaani wanafanya ujinga wao huko ila wakipata matatizo ndiyo wanawakumbuka wake zao na kurudi kujifanya wanahitaji msaada wao.
 
We Karma hao wanawake wasomi unaosema wanatumia pesa kwa matumiz ya nyumbani wanapatkana mkoa gan? Wanawake weng wasomi ni wabinafsi sana ndo mana ukaja ule msemo kuwa, kama mkeo mshahara wake ni m.3 na wako ni lak 5 bs kpato cha familia ni laki 5 na cyo m 3.5.
Yani kiufupi wanawake weng wasomi na wenye vpato hakuna wanachoweza kinachohusu ndoa.. Most of them syo wife materials, ni pasua vichwa, kama unabisha jaribu.. Kama ndoa hujaiona jela..
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Utampata vipi mkamilifu wakati wewe mwenyewe una 30% wapi na wapi ! Tutabanana humo humo kila mtu achukue wakuendana naye, baba zao walivyo wanyanyasa mama zao na hawakuwa na pakusemea wanataka na sahizi iwe hivyo hivyo sio sawa kabisa, kuwa mme bora hata mke bora atakuwepo hiyo misalaba wasibebeshe wanawake
Waendelee tu kuwasubiri hao wanawake wakamilifu
 
Sasa mkuu hiyo hoja ya mwanamke kumkosea heshima mume wake hiyo ni hulka na tabia tu ya mtu na haihusiani na kusoma wala kutokusoma mimi ninawajua wanawake waliosoma na wana heshima na vile vile ninawajua wanawake wasiosoma na wana jeuri!!

Kuhusu majukumu mimi naona inategemea kama mwanamke ana kipato au la lakini hata ninyi wanaume nanyi msiwe wabinafsi muwe mnafikiria sasa kama mke wako anakusaidia majukumu yako wewe unaona ubaya gani kumsaidia majukumu yake muwe na huruma jamani hata wanawake nao wanachoka yaani mahitaji ya nyumbani mtoe wote watoto msomeshe wote ila kazi za ndani na kulea watoto afanye mke peke yake kweli??
Hivi unakielewa vizuri, unacho kizungumza...!!
 
We Karma hao wanawake wasomi unaosema wanatumia pesa kwa matumiz ya nyumbani wanapatkana mkoa gan? Wanawake weng wasomi ni wabinafsi sana ndo mana ukaja ule msemo kuwa, kama mkeo mshahara wake ni m.3 na wako ni lak 5 bs kpato cha familia ni laki 5 na cyo m 3.5.
Yani kiufupi wanawake weng wasomi na wenye vpato hakuna wanachoweza kinachohusu ndoa.. Most of them syo wife materials, ni pasua vichwa, kama unabisha jaribu.. Kama ndoa hujaiona jela..
Peter unaumiza kichwa chako bure, kubishana na hawa viumbe!!

Just nyuti brother, acha tuone MWISHO utazungumza lugha gani...!!
 
Kujua matendo anayoweza kuyafamya mwanamke akiwa na hasira kuna uzito mno kuliko kujua upande mzuri akiwa na furaha.

Mimi nimebahatika kusoma degree na ninajua kwa mtu mwenye hii elimu kuonewa ni kazi sana atatumia mbinu nyingi sana akudhibiti ikiwemo kisheria kitu ambacho wanaume wengi wanakichukia.

Binafsi siwezi nikaoa mwanamke ambae anajiamini sana kiasi cha kujiita "miss independent* Huyu sio mwanamke tena, mwanamke aliletwa aje kumtumikia mwanaume sio kuwa na uwezo na kuridhika kujitumikia yeye, hapa kinachobaki ni ule mwili wa matiti na ngozi nyororo ya kike ila akili inageuzwa kuwa ya kiume, siwezi kuoa hii type.

Mwanamke akikosea unamkanya na akirudia rudia kosa unapiga makofi, ataongea maneno kibao na kulia ila jioni anakupikia chakula na mechi kama kawaida unapewa usiku kwa ushirikiano mzuri, mkiamka asubuhi, ya Jana yashapita mnaendelea na yajayo, sasa uoe mwanamke aliyeelimika dadaeki!!! Umemchapa Kofi kashaanza Ku kupiga biti la vifungu vya sheria na makoro koro kibao ya haki sawa, kwa hali hii mwanaume hawezi kuishi kikamilifu .

Kwa ufupi tu ni kwamba, mwanamke ni kiumbe alieletwa hapa duniani kuwa chini ya mwanaume na kumtumikia mwanaume ataeolewa nae, mwanamke yeyote anaekubali hivi ana uwezekano mkubwa sana wa kuolewa kuliko hawa viburi viburi wanaodhani wakipata mavyeo ndio maisha yameisha.

Mwanamke anaeishi na mume masikini kifedha ana thamani kuliko mwanamke mwenye cheo kizito asie na mume, Ona mwanamke kama zari ni tajiri kifedha anatapatapa kulazimisha ndoa na vijana wadogo kwa sababu anajijua bila mume thamani yake bado haijakamilika,

Kuitwa mke wa baba flani kuna thamani kuliko kusifiwa kumiliki gari la kifahari kwa mwanamke
 
Walio wengi ni wanaume wenye jinsia ya kike hivyo kuwaoa tutakua tunaendekeza ushoga. Acha nao waoe kwani wanauwezo
 
Oh kumbe. Basi inaweza ikawa ni malezi yanachangia sio elimu peke yake. Ndio maana kuna umuhimu kabla ya kuingia kwenye ndoa muweke bayana majukumu yenu.

Hii hali ya kusema majukumu ya fulani yanajulikana ndio inapelekea kuwa na mgongano kwenye familia. Yani wewe Peter useme majukumu yangu yatakua haya na haya na wewe mama majukumu yatakua ni haya na haya.

Lakini pia msisahau ku compromise ili muweze ku accomodate mahitaji ya partner wako.

Kee_tah na Karma tunavyosema kuwa mwanamke kadri anavyozid kusoma anazid kuwa mjinga, mjuaji, kiburi na dharau hatumaanish kwenye dhana ya kumchalenge mwanaume la hasha..

Wanawake weng waliosoma wanaleta harakati ktk ndoa.. Majukumu yake kama mke anaona kama hayamhusu mfano
1. Anaamka muda anaojisikia
2. Kumfulia nguo mumewe anaona cyo wajibu wake, yey msomi
3. Kumpa mapenz mumewe anaona cyo lazma
4. Anaona ana uhuru wa kumjbu mumewe anavyojiskia, iwe vzur au vbaya
5. Kupika na kaz nyumban anaona cyo muhmu afanye yey, hata mume afanye
6. Hawajui namna ya kuzungumza na mume yan ful roporopo na ujeuri.. Kiufupi hawana maner, ndan ya nyumba matokeo yake hajulikan mke wala mume.. Kila unalomwelekeza ni mwendo wa kujbu vbaya tu na hawez kumskiliza mume..

Jeuri yote hii inatokana na wanachodai kuwa, wamesoma na wana kaz hvyo hawez kuwa chn ya mtu...
 
asee embu niunge na huyo doctor , otherwise itakuwa story kama story zingine za kijiweni
 
Hahahahah hata mimi inabidi huu ujudge niupige chini niwe waifu matirio niolewe na kina ben pol type.hahahahq
Hivi Eli uwe serious...! tena uwe serious kbs..m8e najua boda wanaliwa na wamama wa nyumbam wasio ma kazi... mam anaachiwa 5000 anunue nyama boda lazoma apite naye..na boda hana hela ya kumpa huyu mama zaidi ya vocha tu..mie kwanza sinaga mazoea nao..wananipnaga kwa mbal tu..ukimzoea boda umekwisha...!mwenzako mie nna kinyaa balaa..boda??😂😂😂


Ulicho kiandika mwishoni hapana . Manengelo
 
Tusio na elimu ndiyo mnatukanyagia kweli kwenye ndoa ngoja tuvumilie tu hakuna namna, wasomi wanachagua sana ila jamani olewa na umpendae kwa dhati
Hata n km n boda boda?? No..hainog kansa mwanamke amzid mwanaume especially elim au kipato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom