Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,207
- 128,006
Nani aoe mamba??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aoe mamba??
Ni kweli, ingawa hao hapo kwenye akili hapategemei kama mtu ameaoma au hajasomaYes ! I said dat! View attachment 1170181
Fafanua hiyo paaahMie hata niwe kichaa...haitakuja tokea..!hamjajua tu..kwa mwanamke hakuna raha kama kutunza punane yake...kuna raha mno...siku ya siku unalipuka paaah!..tuchovya chovya yaan ww wk haiishi...kaa na joto lako hata kama 4mths..siku ya siku
Machangu Kona baa na kwa wahayaKwa hiyo hao wanaume watawajua wanawake gani? Wake za watu au?
Fafanua hiyo paaah
Mkuu, umelenga mulemule. Salute.Sababu ni nyingi,
Wengi wajuaji
Wanataka mwanaume awe 100% perfect
Masharti mengi katika mahusiano
Shaur yao wasipo jirekebisha na kurudi kwenye msingi aliouweke muumba wataishia kutumika kama viti vya kukodishwa kwenye masherehe * sherehe & harusi zikiisha wanarudi stoo kupigwa vumbi .Wanawake waliosoma soma na wenye kazi nzuri huwa ni "much know" sana. Hilo ndio linalowaponza kutoolewa. Hujifanya kutaka haki sawa 50/50 ndani ya nyumba.
Hainiumi chochote ni upashanaji wa taarifa tu,ukilichukulia Kwa namna tofauti ndo utapata hisia mbayaSasa wewe inakuuma nini hata akipewa sifa isiyo yake?
Hahaha usicheke kuna wanawake pasua vichwa ujue
Eh Mungu ww...yote hyo ni inferior complex dadek nimecheka mno mno!
Basi mie sifai kuolewa
.maana nazijua chocho za kutafta hela kuliko men bye
Wanawake waliosoma wanaponzwa na
1. Ujuaji
2. Kiburi
3. Dharau
4. Ujeuri
Kiufupi hawaoleki, na ukiwaoa watakusumbua sana mpk utajuta.. Inaaminika kuwa kadri mwanamke anavyoongezeka elimu ndvyo anavyozid kuwa mjinga.. Na anapoteza sifa kabisa ya kuwa mke... WACHACHE SANA HASA WALE WALIOLELEWA KTK MISING MIZURI YA DINI NDYO HUOLEWA NA KUDUMU, KWA SABABU WAMEWEKA MBELE MISING YA ELIMU YA DINI KULIKO MISING YA ELIMU YA DUNIA..
Ukisoma huu uzi, utagundua kwanini wanawake wasomi asilimia kubwa hawaoleki, uzi umejaa ushndani wa mwanaume vs mwanamke.. Imagine ushndani huu ndo uhamie ndani ya nyumba, si itakuwa balaa, kwa hyo wanawake wasomi wakiwa kwenye wanashndana na waume zao.. Yan ful ujuaj
Mkuu, bila shaka mnaposema mwanamke anavyozidi kuelimika ndivyo anavyozidi kuwa mjinga mnamaanisha kwamba ndiyo anazidi kufunguka akili kuhusu unyanyasaji wa mwanaume kitu ambacho ninyi hamtaki mwanamke awe aware nacho ndiyo maana mnaona kama kuelimika kwao ni tatizo.Wanawake waliosoma wanaponzwa na
1. Ujuaji
2. Kiburi
3. Dharau
4. Ujeuri
Kiufupi hawaoleki, na ukiwaoa watakusumbua sana mpk utajuta.. Inaaminika kuwa kadri mwanamke anavyoongezeka elimu ndvyo anavyozid kuwa mjinga.. Na anapoteza sifa kabisa ya kuwa mke... WACHACHE SANA HASA WALE WALIOLELEWA KTK MISING MIZURI YA DINI NDYO HUOLEWA NA KUDUMU, KWA SABABU WAMEWEKA MBELE MISING YA ELIMU YA DINI KULIKO MISING YA ELIMU YA DUNIA..
Swala siyo kushindana ila tuambiane ukweli kwanini wanaume mjihalalishie makosa??Ukisoma huu uzi, utagundua kwanini wanawake wasomi asilimia kubwa hawaoleki, uzi umejaa ushndani wa mwanaume vs mwanamke.. Imagine ushndani huu ndo uhamie ndani ya nyumba, si itakuwa balaa, kwa hyo wanawake wasomi wakiwa kwenye wanashndana na waume zao.. Yan ful ujuaj
Siku mkikubali kuambiwa ukweli na wanawake haya maisha yatakuwa mepesi sanaHawa viumbe ni shida tupu!