Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Oneni ajabu hii sasa kama kila mwanaume akimjua mwanamke hao wanawake wasiowajua wanaume watatoka wapi? Mbona mnapenda kulazimisha vitu ambavyo haviwezekani? Khee
Mwanamke kujilinganisha na mwanaume huku ni kukufuru uumbaji.
 
Hawaolewi sababu mwanzo walipendwa na kukataa wanaume kwa sababu ni hawana vitu wanavyo vitaka kama vile elimu,kazi ya maan, nahata kipato kikubwa,hivyo ile gundu la kukaa twanaume linakua n nuksi inafika kipindi hata kutongozwa inakua amna
 
Kuna kabinti ka miaka 28 ni kadactari. Kamekata tamaa ya kuolewa. Kananiomba nikaoe. Issue ni kwamba ujuaji ni mwingi sana. Thou napenda kuwa na mwanamke dactari. Nikimuqeka tuu ndani madharau yataanza. Ngoja nitafute mwalimu wa shule ya msingi tena wa grade A. Ninauhakika nitapata heshima yangu kama Mume
nipasie hako kadaktari
 
Ndio mana nkaamua kuowa mke was darasa LA NNE B no problems
Nguo zinafuliwa na kupasiwa
Watoto wanakuwa safi sins stress za house girl
Chakula safi
Msimu wa kilimo ukifika analima mashamba take( mahindi,marage) si jawahi kununua mwaka wa 9 huu

Adabu ndio ucmpe
Mitandao ya kijamii haijui kabisa yeye na kwaya na michezo ya kuigiza tu bongo movies

Hata nirudi saa6 ucku no kuvimba nakula nawekewa msosi pia naangaliwa nakula mpaka nimalize

Asubhi kama kawaida naamka na BBC love you so much mama T- bag
 
Huyo atakuwa ni miongoni mwa wale walofukuzwa sababu ya kughushi vyeti

Huyo hakuwa msomi halisi.

Hata hivyo siyo kila anaefanya kazi TPA ni msomi.
Utakataa nyuma ya keyboard, au wewe una mtu anakupa kila kitu kitandani. Wenzako baadhi hawapati hadi wanahaha, hao mnowadharau(bodaboda) wanatumia fursa vizuri kuwatafuna.
 
Lengo langu siyo kuwalinganisha mwanaume na mwanamke lakini ninachotaka kusema ni kwamba uzinzi na uasherati umekatazwa kwa wote wanaume na wanawake yaani wanaume na wanawake watatofautiana kote ila inapokuja kwenye swala la dhambi hakunaga cha mwanaume wala mwanamke dhambi ni dhambi tu bila kujali imetendwa na jinsia gani

Na kwa bahati nzuri au mbaya hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi wanawake wakijitunza hiyo ni ishara kwamba na wanaume nao wanatakiwa kujitunza wasiwatongoze na kuwaomba ngono wanawake kabla ya ndoa ili kwamba wanawake waingie kwenye ndoa wakiwa mabikira na wanaume waingie kwenye ndoa wakiwa hawajawahi kufanya ngono mbona simple tu kwanini tufanye maisha yawe complicated?
Tatizo akili yako inashindwa kuchambua mambo. Mwanamke anayejilinganisha na mwanaume ni dalili ya ushetani. Halikadhalika na mwanaume anayejilinganisha na Mwanamke.

Uchafu wa mwanaume nni tofauti na uchafu wa mwanamke ndio maana hata kwenye kutakasa kwenye Biblia ni kuwa mwanaume anajitakasa kwa siku saba wakati mwanamke ni siku kumi na nne.

Sasa unadhani kwa nini Mungu aone uchafu kwa mwanaume unaondoka kwa siku saba wakati mwanamke siku kumi na nne.
 
sasa umekubali, asante Mane!!


😂😂😂 Mie hata niwe kichaa...haitakuja tokea..!hamjajua tu..kwa mwanamke hakuna raha kama kutunza punane yake...kuna raha mno...siku ya siku unalipuka paaah!😂😂..tuchovya chovya yaan ww wk haiishi😏😏😏...kaa na joto lako hata kama 4mths..siku ya siku🙈🙈🙈
 
Mie hata niwe kichaa...haitakuja tokea..!hamjajua tu..kwa mwanamke hakuna raha kama kutunza punane yake...kuna raha mno...siku ya siku unalipuka paaah!..tuchovya chovya yaan ww wk haiishi...kaa na joto lako hata kama 4mths..siku ya siku
i wish..teh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom