Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Madam vivian original

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
503
990
Hbr za w,keend wakuu

Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman

Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa

1) Huyu wa kwa kwanza ni muheshiwa hakimu anaheshimika sna ni jiran angu na best angu, hana mume ila ana mtoto na amezaa na mume wa MTU, nikamuuliza my kulikon unaishi na mume wa MTU anasema ntafanyaje sasa, wanaume wa kututongoza hakuna wengi wao wanatuogopa wanadhan tumeolewa akaniambia pale oficn waheshiwa wote hawajaolewa ni masingle mother tukacheka yakaisha hayo

2) Huyu mwingine ni doctor wangu specialist kabisaa wa mambo ya wanawake lakin hajaolewa amenunua Pete ya ndoa ameivaa utadhan kaolewa kumbe hajaolewa, ktk story story anasema hajaolewa na ana watoto wake wawili kamaliza, anakula maisha kinikamuuliza VP haumiss kuwa na familia anasema nataman hata kesho lakin tunaogopeka wanatuona high class.

Hao ni baadhi tu ambao nawafaham, ninakutana nao kwenye vikoba na kanisan ni wengi na wanamaisha mazuri najiuliza shida ni nn mbona warembo na wanaonekana wife material kakazangu mnakwama wapi,

Kwakweli namshukuru Mungu niliolewa cjui namm ningekua kwenye hz stress.

Shida nn wanawake wasomi hawaolewi wanaishia kuwa single mother's. Wapo wengi humu tujadili tuweze kuwasaidia Dada zetu wanakwama wapi.
 
Kuna kabinti ka miaka 28 ni kadactari. Kamekata tamaa ya kuolewa. Kananiomba nikaoe. Issue ni kwamba ujuaji ni mwingi sana. Thou napenda kuwa na mwanamke dactari. Nikimuqeka tuu ndani madharau yataanza. Ngoja nitafute mwalimu wa shule ya msingi tena wa grade A. Ninauhakika nitapata heshima yangu kama Mume
 
Aisee mm hapa Mtendaji wa kijiji sifai kuwa mke?
Kuna kabinti ka miaka 28 ni kadactari. Kamekata tamaa ya kuolewa. Kananiomba nikaoe. Issue ni kwamba ujuaji ni mwingi sana. Thou napenda kuwa na mwanamke dactari. Nikimuqeka tuu ndani madharau yataanza. Ngoja nitafute mwalimu wa shule ya msingi tena wa grade A. Ninauhakika nitapata heshima yangu kama Mume
 
Wasomi hujifanya na wao wanaume ndani ya nyumba. Atataka kuchukua majukumu ya mwanaume na kujifanya yeye ndio ana bezi ndani ya nyumba. Wanaume HATUKO tayari kuona nafasi yetu ìnachukuliwa. Na kw research yetu wanawake wasomi wengi ndio hujifanya hivyo, kwa hiyo tukijua tu wewe ni msomi, tunakupita huku -----> kuepuka kupokwa uanaume wetu.
Kuna kule kujiamini kuwa mimi ni independent, hata nikiachwa najiegemea, hivyo sitakiwi kutimiza majukumu yangu ya mwanamke wa kiafrika kwa mme au familia yangu.
 
Hbr za w,keend wakuu

Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman

Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa

1) Huyu wa kwa kwanza ni muheshiwa hakimu anaheshimika sna ni jiran angu na best angu, hana mume ila ana mtoto na amezaa na mume wa MTU, nikamuuliza my kulikon unaishi na mume wa MTU anasema ntafanyaje sasa, wanaume wa kututongoza hakuna wengi wao wanatuogopa wanadhan tumeolewa akaniambia pale oficn waheshiwa wote hawajaolewa ni masingle mother tukacheka yakaisha hayo

2) Huyu mwingine ni doctor wangu specialist kabisaa wa mambo ya wanawake lakin hajaolewa amenunua Pete ya ndoa ameivaa utadhan kaolewa kumbe hajaolewa, ktk story story anasema hajaolewa na ana watoto wake wawili kamaliza, anakula maisha kinikamuuliza VP haumiss kuwa na familia anasema nataman hata kesho lakin tunaogopeka wanatuona high class.

Hao ni baadhi tu ambao nawafaham, ninakutana nao kwenye vikoba na kanisan ni wengi na wanamaisha mazuri najiuliza shida ni nn mbona warembo na wanaonekana wife material kakazangu mnakwama wapi,

Kwakweli namshukuru Mungu niliolewa cjui namm ningekua kwenye hz stress.

Shida nn wanawake wasomi hawaolewi wanaishia kuwa single mother's. Wapo wengi humu tujadili tuweze kuwasaidia Dada zetu wanakwama wapi.
wanawake wengi 70% wakisoma wanajiona ma superior wanakuwa na dharau sana.

mpka huwa nashangaa sijui wanakwamaga wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom