Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Messages
411
Points
1,000

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2018
411 1,000
Hbr za w,keend wakuu

Najiuliza ni kwann wanawake wasomi hawaolewi, mfano: madoctor wakike, mahakimu wakike, wanasheria na hata walimu wengi was secondary hawaolewi shida nn hasa jaman

Nina marafiki zangu, na Dada zangu kadhaa ambao wamesoma lakin hawajaolewa na wanataman wapate waume wa kuwaoa

1) Huyu wa kwa kwanza ni muheshiwa hakimu anaheshimika sna ni jiran angu na best angu, hana mume ila ana mtoto na amezaa na mume wa MTU, nikamuuliza my kulikon unaishi na mume wa MTU anasema ntafanyaje sasa, wanaume wa kututongoza hakuna wengi wao wanatuogopa wanadhan tumeolewa akaniambia pale oficn waheshiwa wote hawajaolewa ni masingle mother tukacheka yakaisha hayo

2) Huyu mwingine ni doctor wangu specialist kabisaa wa mambo ya wanawake lakin hajaolewa amenunua Pete ya ndoa ameivaa utadhan kaolewa kumbe hajaolewa, ktk story story anasema hajaolewa na ana watoto wake wawili kamaliza, anakula maisha kinikamuuliza VP haumiss kuwa na familia anasema nataman hata kesho lakin tunaogopeka wanatuona high class.

Hao ni baadhi tu ambao nawafaham, ninakutana nao kwenye vikoba na kanisan ni wengi na wanamaisha mazuri najiuliza shida ni nn mbona warembo na wanaonekana wife material kakazangu mnakwama wapi,

Kwakweli namshukuru Mungu niliolewa cjui namm ningekua kwenye hz stress.

Shida nn wanawake wasomi hawaolewi wanaishia kuwa single mother's. Wapo wengi humu tujadili tuweze kuwasaidia Dada zetu wanakwama wapi.
 

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
1,894
Points
2,000

Lagrange

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
1,894 2,000
Hahahahah hata mimi inabidi huu ujudge niupige chini niwe waifu matirio niolewe na kina ben pol type.hahahahq
Hivi Eli uwe serious...! tena uwe serious kbs..m8e najua boda wanaliwa na wamama wa nyumbam wasio ma kazi... mam anaachiwa 5000 anunue nyama boda lazoma apite naye..na boda hana hela ya kumpa huyu mama zaidi ya vocha tu..mie kwanza sinaga mazoea nao..wananipnaga kwa mbal tu..ukimzoea boda umekwisha...!mwenzako mie nna kinyaa balaa..boda??😂😂😂

Ulicho kiandika mwishoni hapana . Manengelo
 

Forum statistics

Threads 1,366,126
Members 521,386
Posts 33,360,834
Top