Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

Mwenzangu ukisema maisha yako Yana complication try to read about Manges life. Yaan yeye na Mwele ni. Mtu na dada mara wakashare dyudyu mara wakaanza kuleana huku wana share mama.
Marehemu Jumanne Kimambi alikua boyfriend wa Mwele. Wakati huo Rose Kimambi ndiye aliyekua mke wa ndoa. Kwa attitude ya Mange hakuwahi kuiva na Rose na alijua mirathi atakatwa panga hivyo alimuibia Rose kibweta cha dhahabu akaenda kuziuza.

Alifukuzwa kwa Rose na alikimbilia kwa Mwele, ndiye alimlea mpaka kumuozesha kwa baba Kenzo.
 
Dunia Ina mambo. Mwele sio dada wa kuzaliwa (Kwa upande wa mama) na Mange?

Manake mama Mange aliwahi kuzaa mtoto na Malecela?

Lkn mwele akawa na uhusiano na kaka wa kambo?
 
Marehemu Jumanne Kimambi alikua boyfriend wa Mwele. Wakati huo Rose Kimambi ndiye aliyekua mke wa ndoa. Kwa attitude ya Mange hakuwahi kuiva na Rose na alijua mirathi atakatwa panga hivyo alimuibia Rose kibweta cha dhahabu akaenda kuziuza.

Alifukuzwa kwa Rose na alikimbilia kwa Mwele, ndiye alimlea mpaka kumuozesha kwa baba Kenzo.
Kwan Grace Kimambi ni mama ama ni dada was Mange?
 
Sky Eclat hivi ni kweli mwanamke ambaye hajazaa au amezaa watoto wachache ni prone to cancer?
Hapana ingekua hivyo watawa wangekufa sana. Cancer instokea tu pale cells zinapovurugika na kugeuka kushambulia mwili. Hutokea kwa wengi lakini wengine miwili yao inarekebisha.
 
Back
Top Bottom