Kazi kweli kweli
Mbona wa zamani hizo mpenzi?Huyu ubuyu ni noma...
Nakucheki PM...Mi member mkongwe ninatumikia ban tu ndo mana nimejiweka hapa
Huyu Rachel Temu ana bifu na Mange kitambo. Mi mwenyewe nimeshangaa kichwa cha habari na habari yenyeweHata mimi nashangaa mkuu Habari hii imewataja wengi watu mashuhuri na viongoz lakini cha ajabu kichwa cha habari juu Kawekwa Mange Kimambi why!! Lemutuz aache ushankupe wake bwana ampumzishe mdada wa watu
Mbona wa zamani hizo mpenzi?
Halafu subiri nakucheki PM nikupe a/c yangu ya Instagram.
Ili iweje mkuu?Aisee, mi nipe a/c yako ya benki