Kwanini huwa zinatengenezwa hela mpya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini huwa zinatengenezwa hela mpya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by B.O.G, Mar 24, 2011.

 1. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi wanajanvi kuna yeyote anayefahamu kwa nini huwa zinatengenezwa hela mpya, na baada ya hapo vitu kupanda bei marudufu ?
   
 2. N

  NNYAMBALA Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Za zamani na amabazo ziko kwenye mzunguko zinakuwa nyingi zimechakaa.
   
 3. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok kama za zamani zinakuwa zimechakaa kwanini hizi mpya zinashuka thamani, yaani vitu vinapanda bei?
   
 4. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na pia sijui watu mnafahamu ini juu ya neno lakibenki lijulikanali kama DEBIT?
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mkuu, maswali yako yanahitaji darasa la uchumi ili upate msingi wa mambo hayo. Ni vigumu kidogo kuikidhi hiyo haja hapa jamvini.
   
 6. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Kifupi hakuna uhusiano kati ya kuchapisha noti mpya na mfumuko wa bei. Tatizo ni pale panapoongezeka pesa kwenye mzunguko hapo panaweza tokea mfumuko wa bei.
  Na debit ni neno la kiingereza unaweza check kwa kamusi au google.
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nadhani mwanzisha thread hakumaanisha noti mpya ku-replace iliyochakaa ya aina ileile.
  Atakuwa alimaanisha kwa nini sarafu au noti zinabadilishwa kila mara.
  Mwinyi alibadilisha, Mkapa akaona za Mwinyi ovyo kabadilisha, Kikwete nae kaona za che Nkapa uchuro nae kabadilisha.
  Je kila rais mpya ataendelea kubalisha?
  Kwanini zinabadilishwa?
   
 8. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  mpe, credit = mtoe
   
 9. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  time will tell
   
Loading...