Kwanini huwa hivi???!!!

zaratustra

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
848
223
Wakuu, hasa wajuzi (wataalamu) wa mambo ya sheria/mahakama, naomba mnijuze: Mara nyingi huwa nasikia mtuhumiwa anafikishwa mahakamani, say Kisutu kusomewa shitaka fulani, baadaye inasemwa kuwa, "mshitakiwa hakutakiwa kujibu lolote, kwa sababu mahakama hiyo haina uwezo wa kuendesha kesi hiyo!"
Nisichoelewa na ninachoomba wakuu mnisaidie kunielewesha, ni kwanini mtuhumiwa asipelekwe moja kwa moja kwenye mahakama husika??
 
Umejitahidi sana kufuatilia na hongera kwa hilo ila kwa mfano mzuri mtu amepata ajali hapelekwi hospital bila pf3 unajua kwa nini?
Wakati police hawaz kumtibu.
Wkt huwz pokelewa hosptl bila pf3 ya police? Da same applyed
 
Hapana boss mgonjwa si kweli kuwa mgonjwa hatibiwi bila pf3, kwa kawaida matibabu yanaanza then pf3 inaweza fatwa hata baada ya mgonjwa kutibiwa. Fikiri ajali imetokea unafikiri wagonjwa hawatatibiwa eti coz hawana pf3, life first then others follows. Hivyo umetoa irrelevant example
 
Back
Top Bottom