Kwanini hukupokea simu yangu??

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
Mapenzi kitu cha ajabu na muda mwingine cha kijinga sana, kutopokea simu ya mpenzi wako laweza kuwa kosa kubwa linaloweza kuleta ugomvi mkubwa

Lakini mbona shosti wako ulipompigia hakupokea? Lakini hukumind, na yule ndugu yako je, au yule mshkaji wako wa mishemishe wote hao hukuwamind...!

Mimi tu ndio unanisulubu na utitiri wa maswali...!!
Kwanini hukupokea simu yangu?
Ulikuwa na na nani?
Mlikuwa mnafanya nini?
Kumbe ndio tabia yako eeh!! Nk nk nk

Jamani kuna Wakati niko Busy au niko msalani au sikusikia ikiita, si lazima nifanye jambo baya kama sijapokea simu yako Please
 
Jamani kuna Wakati niko Busy au niko msalani au sikusikia ikiita , si lazima nifanye jambo baya kama sijapokea cm yako Please
Lakini wakati mwingine ni visingizio lakini binfsi huwa nachukia sana mtu akini accuse eti HUKUPOKEA simu kana kwamba yeye amewahi kupokea simu zote alizowahi kupigiwa
 
Kuna watu wakiwa na stress zao hawataki hata kuiona simu, ukija kumletea hizo habari ndio anatibuka kabisa na pengne mahusiano yakagonga ukuta siku hiyohiyo.
 
kunawatu wakiwa na stress zao hawataki hata kuiona simu, ukija kumletea hzo habari ndio anatibuka kabisa na pengne mahusiano yakagonga ukuta sku hyohyo.

Story of my life.
Suppose umeshaleteana noma na Bosi hujameet deadline mtu anakupigia simu kukuuliza umekula nini Dear?
 
Mtu anataka akipiga upokee kwa wakati, akute inatumika ni majanga utafikiri simu ipo kwa ajili yake tu, ukishaniletea hizo nakata nasimu nazima
 
Story of my life.
Suppose umeshaleteana noma na Bosi hujameet deadline mtu anakupigia simu kukuuliza umekula nini Dear?
yani inaboaje au uko kwenye ishu umeconcentrate vibaya ukiangalia simu ni mpenzi wako....mi naweka silent.
 
Mapenzi kitu cha ajabu na muda mwingine cha kijinga sana, kutopokea simu ya mpenzi wako laweza kuwa kosa kubwa linaloweza kuleta ugomvi mkubwa

Lakini mbona shosti wako ulipompigia hskupokea? Lakini hukumind, na yule ndugu yako je, au yule mshkaji wako wa mishemishe wote hao hukuwamind...!

Mimi tu ndio unanisulubu na utitiri wa maswali...!!
Kwanini hukupokea simu yangu?
Ulikuwa na nanani?
Mlikuwa mnafanya nini?
Kumbe ndio tabia yako eeh!! Nk nk nk

Jamani kuna Wakati niko Busy au niko msalani au sikusikia ikiita , si lazima nifanye jambo baya kama sijapokea cm yako Please

Pole sana mdau. You are not sailing alone in that boat.
Inferiority complex is what haunts these beings.
Every time accusations never end
 
jamani kama unampenzi wako umepiga simu apokei au ipo busy ni vyema ukatanguliza positive altitude kwanza .kisha negative ije baadae kutokana na maelezo yake.sio kukulupuka na kuwaza ishu ambayo haina ata maana.eti labda ananisaliti.au ananidhalau.au sina umuhimu kwake.kwani weweupo peke yako kwenye phonebook.au unajua alikuwa anafanya nini??wivu mwengine wa kijinga...
 
Story of my life.
Suppose umeshaleteana noma na Bosi hujameet deadline mtu anakupigia simu kukuuliza umekula nini Dear?
woman_and_man_having_telephone_conversation_FAN2016421.jpg
 
Eti hata mimi huwa nashangaa mtu akipiga simu akikuta inatumika ananuna huyo utafikiri kwenye contact list yuko mwenyewe...
...apige sasa isipokelewe..inakua kesi usipokuwa makini inakua ndo mwisho wa mapenzi...
....mapenzi jamani khaaaaa
 
Zaidi wao ndo wanakasirikaaaa (wanawake) kama vile kuna kitu muhimu sana anataka kukwambia
 
Alwayz you have to LET IT GO!!! no matter how deep complaint it is coz inferiority complex is giant in somebody' sphere!
 
Back
Top Bottom