Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,596
Mapenzi kitu cha ajabu na muda mwingine cha kijinga sana, kutopokea simu ya mpenzi wako laweza kuwa kosa kubwa linaloweza kuleta ugomvi mkubwa
Lakini mbona shosti wako ulipompigia hakupokea? Lakini hukumind, na yule ndugu yako je, au yule mshkaji wako wa mishemishe wote hao hukuwamind...!
Mimi tu ndio unanisulubu na utitiri wa maswali...!!
Kwanini hukupokea simu yangu?
Ulikuwa na na nani?
Mlikuwa mnafanya nini?
Kumbe ndio tabia yako eeh!! Nk nk nk
Jamani kuna Wakati niko Busy au niko msalani au sikusikia ikiita, si lazima nifanye jambo baya kama sijapokea simu yako Please