Amani kilawila
Member
- May 16, 2021
- 13
- 16
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukosa Ajira katika soko la Ajira hii sio kwamba hawana uwezo wa kufanya hiyo kazi au namna gani Bali ni kutokuaminiwa na baadhi ya ma Managers na kunyimwa opportunities za kufanya kazi jee ni nini kifanyike kukabiliana na hili tatizo???