Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,450
Haa jamani
Haa jamani
Nikuulize wewe uliye muhenga zaidi yangu
Kweli kabisa. Ubachela kazi sana ngoja nirekebishe msosiAtapata watoto wenzie ili mwisho wa siku wanatupa faida sieee.
Muhenga kwenye nini?Nikuulize wewe uliye muhenga zaidi yangu
Muhenga kwenye nini?
Nishaiona mkuu genumeona eeehh!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Nishaiona mkuu genumeona eeehh!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Kabanduliwa mtu humu
Kweli kabisa. Ubachela kazi sana ngoja nirekebishe msosi
Kweli yan.... Sema ndoivo tena hamna namna, unaamua kutulia tu then maisha yanaenda! Pengine inakuaga co rizkHaa jamani
ananiuliza kimtego uyu muhenga
ananiuliza kimtego uyu muhenga
nawe mjibu kimtego tuananiuliza kimtego uyu muhenga
Sijui nani ! lakini alobanduwa kaweka bomba somewhere
Mkuu funguka ujue mm umeniacha kolomijeSijui nani ! lakini alobanduwa kaweka bomba somewhere