Kwanini hii imeitwa Order of the Court na siyo Judgment of the Court

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,084
2,000
Kuna tofauti gani kati ya Order of the court na Judgment of the court? Angalia attached ORDER OF COURT AND NOT JUDGMENT, WHY?
 
Attachments

  • File size
    281.5 KB
    Views
    19

BISECKO

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
634
1,000
Kuna tofauti gani kati ya Order of the court na Judgment of the court? Angalia attached ORDER OF COURT AND NOT JUDGMENT, WHY?
Hukumu inachambua mlolongo mzima wa kesi, chanzo, hoja, sababu za umamuzi, sheria inavyosema ktk suala husika, utetezi wa pande zote mbili n.k lakini order yaani amri yenyewe imegusia maelezeko mahususi yanayopaswa fuatwa na kuzingatiwa na pande husika ktk kesi...

Kwenye judgement yawezekana kuwa na orders mfano amri ya gharama za kesi n.k...
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,084
2,000
Hukumu inachambua mlolongo mzima wa kesi, chanzo, hoja, sababu za umamuzi, sheria inavyosema ktk suala husika, utetezi wa pande zote mbili n.k lakini order yaani amri yenyewe imegusia maelezeko mahususi yanayopaswa fuatwa na kuzingatiwa na pande husika ktk kesi...

Kwenye judgement yawezekana kuwa na orders mfano amri ya gharama za kesi n.k...
Ubarikiwe sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom