Kwanini hii dawa ya NIMR haisambazwi sana ili kila mtu awe nayo?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,327
5,559
Hii dawa ya NIMRI ya kupambana na virus naona inasaidia sana kwani imesaidia jamaa zangu waliokuwa mahututi. Swali nikwanini haisambazwi sana nakutoa maelekezo jinsi ya kuitumia?
 
Mwanasiasa akikuambia usiku mwema toka nje uangalie kama kweli usiku umeingia.
FB_IMG_1589265718181.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tuache siasa kila kitu, labda wewe halijakupata lakini kwa ambao limewapata nakutumuia hii dawa naona inawasidia sana hasa wenye matatizo ya BP..Na shida kubwa ya ugonjwa huu kama unabp au matatizo ya moyo inakuwa shida kupona.

Ndo maana nikasema hii dawa ingekuwa inapatikana kiarhisi ili kila mmoja akitaka basi aipate. Kama mtu hana tatizo la kifaya hata corona is issue sana

Si kweli, acha kupamba ujinga. 80% ya wagonjwa wa Covid-19 wanapona wenyewe, how are you sure kuwa hao ndugu zzako hawapo kwenye kundi hilo?
 
Hii dawa ya NIMRI ya kupambana na virus naona inasaidia sana kwani imesaidia jamaa zangu waliokuwa mahututi. Swali nikwanini haisambazwi sana nakutoa maelekezo jinsi ya kuitumia?
Uzuri hii dawa mtu anaweza akatengenezea nyumbani, na ninadhani ndo lilikua lengo lao halisi... Dawa ni watu kupewa ile recipe na kusambaziana kwa wingi ila kwa kweli ni nzuri hata kwa wenye asthma na vikohozi/flue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAFI SANA MDAU KWA OBERVATION, WATU WENGINE WAKICHANGIA WANATANGULIZA SIASA TU NA CHIKI NA VITU VYA SERIKALI

Uzuri hii dawa mtu anaweza akatengenezea nyumbani, na ninadhani ndo lilikua lengo lao halisi... Dawa ni watu kupewa ile recipe na kusambaziana kwa wingi ila kwa kweli ni nzuri hata kwa wenye asthma na vikohozi/flue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dawa ya NIMRI ya kupambana na virus naona inasaidia sana kwani imesaidia jamaa zangu waliokuwa mahututi. Swali nikwanini haisambazwi sana nakutoa maelekezo jinsi ya kuitumia?
Mkuu inasambazwa sana tu hapa Dar na yametolewa maelekezo jinsi ya kutengeneza unaweza tengeneza mwenyewe nyumbani mkuu. Haya hapa maelekezo
 
Attachments

  • NIMR Dawa.mp4
    4.6 MB
Itawagharimu sana watu wenye upeo mdogo kuelewa mambo..
Tambueni hakuna Dawa ya Covid 19 hadi sasa iliyothibitishwa kiasi cha watu kubweteka.
Kusikia na kuelewa ni vitu viwili tofauti.

Zingatieni hatua zote za kujinusuru dhidi ya Covid 19
NB: Ugonjwa huu si sehemu ya kujipongezea au kujipatia sifa za siasa,dini au kabila.
 
Hii dawa ya NIMRI ya kupambana na virus naona inasaidia sana kwani imesaidia jamaa zangu waliokuwa mahututi. Swali nikwanini haisambazwi sana nakutoa maelekezo jinsi ya kuitumia?
huyu jamaa ni wa ajabu sana
kanywa dawa huko magadasika , kufikisha anasema inafanyiwa utafiti upya
 
Hii dawa ya NIMRI ya kupambana na virus naona inasaidia sana kwani imesaidia jamaa zangu waliokuwa mahututi. Swali nikwanini haisambazwi sana nakutoa maelekezo jinsi ya kuitumia?
Pata fomula yake na utengeneze mwenyewe ndio nzuri zaidi kuliko ya kuuziwa ambayo mara nyingi imesha expire. Ni tangawizi, vitunguu, pilipili (sio lazima), saga, changanya na maji ya moto kunywa kutwa mara tatu.
 
Itawagharimu sana watu wenye upeo mdogo kuelewa mambo..
Tambueni hakuna Dawa ya Covid 19 hadi sasa iliyothibitishwa kiasi cha watu kubweteka.
Kusikia na kuelewa ni vitu viwili tofauti.
Zingatieni hatua zote za kujinusuru dhidi ya Covid 19
NB: Ugonjwa huu si sehemu ya kujipongezea au kujipatia sifa za siasa,dini au kabila.
Hizo hatua unazofikiri wewe Moja wapo ni hii ya dawa nayo ni hatua.Tatizo utumwa wa kifikra umetutawala Sana,basi ngoja tufanye mpango dawa hii itokee ulaya kwa lebo nyingine na jina lingine,kwa sababu Imani uponya na hapa Cha Kwanza ni kupata Imani yako ndipo dawa ifanye kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri hii dawa mtu anaweza akatengenezea nyumbani, na ninadhani ndo lilikua lengo lao halisi... Dawa ni watu kupewa ile recipe na kusambaziana kwa wingi ila kwa kweli ni nzuri hata kwa wenye asthma na vikohozi/flue

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu useme basi mbona mchanganyiko umekuepo na kweli husaidia sana katika respiratory infection hata wakati tunafunga vyuo wakati covid inaanza

Niliwahi changia huzi hum nikisema pomoja na kuchukua atua muhim za kujikinga na korona yatubidi kuweka bajeti ya lamau,vitunguu swaum na tangawizi kwa kusaga na kupata mchanganyiko wake then unatia chumvi japo NIMRI wamekuja na pilipili .

Huu mchanganyiko kabla ya covid imekua dawa yangu nipatapo Mafia na kikohozi kikali wala sio jambo jipya
 
Nimri ( national institute for medical research ). Ni taasis ya serikal inayofanya research za kitabibu. Hawatengenezi dawa ila dawa zinatengenezwa na watu binafsi au makampuni then wanaleta NIMR iki kuchunguzwa kama kweli zina ubora na zinatibu.
Process hiyo sio ya siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nilitaka nimjibu hivi maana hajui NIMR ni nn huyu mtu.
 
Back
Top Bottom