Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

Tangu lini muongo akaacha asili Mkuu? Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kainusuru Tanzania yetu kwa maovu mengi ya kutisha.
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama ivi ambavyo ameumbuka...
 
Mrundi hawezi kua mkweli kwa mtanzania,hata mpango nae mrundi mwenzake
 
His chapter is closed hata ukimuhukumu hawezi kujitetea and who knows which is which kesi huwa inasikilizwa pande mbili may be he was not lying!!! Nan ajuaye?hebu mpumzisheni Makufuli this Makufuli that he is dead and gone ili mfurahi mlimchuria mno...let him rest...
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama ivi ambavyo ameumbuka...
 
His chapter is closed hata ukimuhukumu hawezi kujitetea and who knows which is which kesi huwa inasikilizwa pande mbili may be he was not lying!!! Nan ajuaye?hebu mpumzisheni Makufuli this Makufuli that he is dead and gone ili mfurahi mlimchuria mno...let him rest...
Mayb' hwsnt lying!!? Hatari sana!

Lile shirika la ndege alilosema limeingiza faida ya bln. Kadhaa je!?

Yule alikuwa ni muongo na muovu by default"
 
Yan maju amefunikwa na mama mpaka aibu!!! Yan MTU ana PhD hata kuongea hajui!?? Haki ya Mungu!!! Daaa
 
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama ivi ambavyo ameumbuka

Imagine alikuwa na sababu gani ya kumlazimisha atudanganye kuwa uchumi wa nchi unakua kwa %8 kwa mwaka na wakati ukweli ni kwamba uchumi ulikuwa unashuka kwa %4 kwa mwaka

Kwanini aliamua kuwa adui wa vyombo vya habari na vyama upinzani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kuwa na uadui na vyombo hivi

Kwanini aliamua kununua wapinzani na kisha kuwazawadia vyeo yeye alikuwa anafaidika na nini na biashara hii

Nb na mwenye kuongezea uongo mwingine wa mwendazake aongezee apa ili tujue kilochokuwa kinamsibu uyu mwenzetu ni nini

uchumi kwa kipindi gan ulikua unakua kwa asilimia 4%?
1619988963526.png
 
Mayb' hwsnt lying!!? Hatari sana!

Lile shirika la ndege alilosema limeingiza faida ya bln. Kadhaa je!?

Yule alikuwa ni muongo na muovu by default"
Et a asema may be he wasnt lying .mmh kwa kweli nimeshangaa lakini hawa ni wazee wa legacy so wao hawauon uongo wa jamaa mfano ukimuuliza yani kwanini jamaa alidanganya kwmba sgr tunajenga kwa ela zetu wakati ni ela za mikopo alikuw na shida gani kutudangany kwa tz hamna corona alafu mwisho wa siku Corona ikamtafuna yeye mwenyewe alikuwa anamaanisha nini
 
uchumi kwa kipindi gan ulikua unakua kwa asilimia 4%?
View attachment 1771668
Mzee wa ligasi sio mimi nilieyasema haya apana bali ni mama SSH raisi wa sasa uchumi wa nchi kwa mwaka 2020 umeshuka kwa koasi cha 4.6 so probably Magu alikuwa anapika data za uongo uongo mzee usinipige mshale sio mimi
 
Back
Top Bottom