Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Moja kati ya sera mbovu kabisa ya CCM ni hii ya kofia moja. Hii ndio inasababisha baadi ya viongozi wa serikali kuvurunda mara kwa mara.

Chama kinajitenga na serikali yake kwa sababu viongozi wa serikali sio viongozi wa Chama.
Ndani ya Chama kuna kusemana, kufunzwa, kujifunza, kinyooshwa n.k.

Serikalini ni sheria.

Watu walikuwa wanahangaika kuoata ujumbe wa Halmashauri Kuu kwa sababu utamhakikishia uwezekano wa kupata ubunge ambao utamfanya aingie baraza la mawaziri.

Kwa waziri anakuwa ni mjumbe wa halmashauri kuu ambae kapikwa barabara kule chamani.

Akitetereka wizarani anakutana na rungu ndani ya Chama na kurekebisha makosa kabla hata masuala hayajafika bungeni.

Wakuu wa mikoa na wilaya walikuwa wajumbe wa mikutano mikuu ya chama kindakindaki.

Wanaojua Imani, sera na malengo ya Chama chao kwa kuwa wanaishi nayo.

Leo hii mtu hata hajui nini kimezungumzwa na makutano wa wilaya anakuwa mkuu wa wilaya.

Inatakiwa mtu atafute uongozi wa Chama kwanza ili kupata nafasi ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa serikali.

CCM rudisheni kofia nyingi ili viongozi waanze kupokwa ndani ya Chama.
 
Ni wakati sasa CCM iwaulize balozi Bashiru na Mwalimu Polepole namna walivyoweza kununua wapinzani kutoka CDM.

Kila mwanasiasa ana dau la kununuliwa. Mfano Dkt.Slaa, Dk.Masinji, Lijualikali, Halima Mdee, Yule aliyekuwa mbunge wa Alumeru n.k

Nawakubali Tundu Lissu na Mbowe maana hawana dau labda wazibwe midomo.
Mbowe nae anapaswa kutuambia kuhusu utaratibu uliotumika mpaka yule tulieaminishwa na chama kuwa fisad papa kupewa nafas ya kugombea urais kwa njia ya kubadil gia angani au kwel jamaa hiyo nafas aliinunua???
 
Ndiyo maana leo hii mh Mbowe yupo lupango akiteseka kama mhalifu kisa tu aliwakatalia kununuliwa kama watumwa.

Mh Lissu yaliyo mpata hakuna mtu asiye yajua dunia mzima.

Lkn kina Lijualikali waliokubali kugeuzwa mlenda leo wanapokea mishahara minono.
Hao uliowataja kuwa wanapokea minono ya nchi, hawani amani kabisa mioyoni mwao. Kubwa zaidi masimango toka huko walikokimbilia. Hakuna hata mmoja ajuae kesho yake.

Ndoto za hawa watu zilikuwa ni kukamata nafasi za Kisiasa za kuchaguliwa na sio za kuteuliwa.

Nafasi za kuteuliwa ni sawa na majani kwenye mti. Wakati wowote yanaweza kupukutishwa. Au mti wenyewe kukauka. Hawa wote tuwape muda mti unaweza kukumbwa na kiangazi wakati wowote. Hivyo kuyapukutisha majani yote.
 
Ni wakati sasa CCM iwaulize balozi Bashiru na Mwalimu Polepole namna walivyoweza kununua wapinzani kutoka CDM.

Kila mwanasiasa ana dau la kununuliwa. Mfano Dkt.Slaa, Dk.Masinji, Lijualikali, Halima Mdee, Yule aliyekuwa mbunge wa Alumeru n.k

Nawakubali Tundu Lissu na Mbowe maana hawana dau labda wazibwe midomo.
Laana hiyo,
Hela za wastaafu zilizokuwa mifuko ya kijamii walikula wapinzani huku wastaafu wanaambiwa wapeleke barua za ajira.
 
Hao uliowataja kuwa wanapokea minono ya nchi, hawani amani kabisa mioyoni mwao. Kubwa zaidi masimango toka huko walikokimbilia. Hakuna hata mmoja ajuae kesho yake.

Ndoto za hawa watu zilikuwa ni kukamata nafasi za Kisiasa za kuchaguliwa na sio za kuteuliwa.

Nafasi za kuteuliwa ni sawa na majani kwenye mti. Wakati wowote yanaweza kupukutishwa. Au mti wenyewe kukauka. Hawa wote tuwape muda mti unaweza kukumbwa na kiangazi wakati wowote. Hivyo kuyapukutisha majani yote.
Hakika wanastahili kuoukutishwa maana usaliti ni dhambi kuu ndiyo maana hata kwenye vitabu vitukufu umelaanika
 
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.

Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.

Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana, Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.

" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.

View attachment 2009572
Hii andiko lako litaisaidiaje Taida kupata Katiba Bora na Mpya
 
Bashiru aliteuliwa ukatibu mkuu kiongoz ikulu..kwahyo alipandshwa cheo sio kushushwa
 
Hawa jamaa walikuwa ni outcast na kuna wengine wapo kama wabunge watu kama mwana fa na babu tale wametoka wapi kwenye chama?kuna watu wamekipiganiq chama sana na walitegemea matundq katokea mtu mmoja kavuruga utaratibu wote nasema tena kwenye nafsu zao wanajua walibebwa tu na ukweli hawakupaswa kuwa pale ata kidogo.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom