Samia anapakaziwa tuKumbe walinunuliwa duuu biashara ile ile utumwa
Ila bashiru ndo alipewa na SamiaHayati Magufuli
Bashiru alikuwa Katibu Mkuu kiongoziIla bashiru ndo alipewa na Samia
Si ndo akatolewa na Samia akapewa viti maalum.Bashiru alikuwa Katibu Mkuu kiongozi
Ndio, Ila kwa Mujibu wa Kofia moja mtu mmoja, Kitendao cha Hayati Rais Magufuli kumpatia ukatibu mkuu wa JMT alishamtoa kwenye Chama,Si ndo akatolewa na Samia akapewa viti maalum.
Kwani nani amekwambia wao wanalalamikia hizo nafasi===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.
Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.
Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.
" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.
View attachment 2009572
Sasa Chama kimewakosea nini?Kwani nani amekwambia wao wanalalamikia hizo nafasi
Wewe na wenzako mdo mnatabili uongo kuwa waliondolewa kwenye nafasi sasa wanahasila.
Uongo wenu mnautak uwe ndio mawazo yao huku wao hana hanali hizo.
Kuna wahuni wanataka kujimilikisha chama na kukifanya kikose heshima.Sasa Chama kimewakosea nini?
Anzisha uzi wako juu ya hilo utajibiwa kisawa sawa acha kuchanganya mada.Mbowe nae anapaswa kutuambia kuhusu utaratibu uliotumika mpaka yule tulieaminishwa na chama kuwa fisad papa kupewa nafas ya kugombea urais kwa njia ya kubadil gia angani au kwel jamaa hiyo nafas aliinunua???
Mwandishi wewe kiboko,===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.
Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.
Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.
" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.
View attachment 2009572
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?===

Mbona rais ana kofia 3 ana urais, uenyekit wa chama ma uamilijeshi mkuuUtaratibu wa CCM "mtu mmoja kofia moja "unajua hili?
Eti kofia moja, kwa utaratibu wa chama chetu.
Tuanze na Mwenyekiti ajivue au mmvue cheo kimojawapo