Kwanini hatupendi watumishi wetu wa majumbani waanzishe familia zao?

Nimeshindwa kupata majibu kwanini watumishi wa majumbani wanapoamua kuanza maisha yao ya ndoa inakuwa ni vita na waajiri wao?

Huwa wanawapunguzia nini?

Sio wote hawapendi watumishi wao wa majumbani wasipate kuanza maisha ya ndoa
Binafsi namuombea Mungu binti nilienae aje apate ndoa na kuanza maisha yake rasmi nitajisikia vibaya zaidi km atabebeshwa mimba na kukimbiwa
Mungu atamsaidia
 
Too general..! Taratibu zinatakiwa zifuatwe upo kazini afu unaanzisha mahusiano kazi zinazorota kisa huyo kidume..! Hapo ni namna alivyojipanga kuanzisha hiyo familia.
 
Back
Top Bottom