Kwanini hatuna Fire hydrant system mitaani?

Fire hydrant system wapi?... Miundombinu ya maji ya kutumia majumbani hakuna! Hata visima hakuna !! Itakuwa hiyo ya kuzima moto?. Kama kuanza kujenga waanze na maji taka, moto matukio yake yanapangwa vikaoni.
 
Zilikuwepo zilizoachwa na wakaloni, ila tushazing'oa na kuzifanya chuma chakavu zote...
 
Yalikuwepo enzi zileeeeeee musizozipenda at least kwa Zanzibar (ninaamini hata huku bara madamu mtawala alikuwa mmoja ambae ni Muingereza). Kulikuwa na mifuniko ya mashimo mengine (sijui jina lake halisi) pembeni kwa barabara yameandikwa FH, baadae nilikuja kujifunza hiyo FH ilikuwa ni point ya bomba la maji (Fire Hydrant).
 
Back
Top Bottom