SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
habari wakuu,
mitandao ya kijamii yoyote, ili iendelee lazima iwe na idadi kubwa ya subscribers na kuwe na consistence ya subscription, ratings ziwe juu e.t.c
kimsingi mafanikio ya hayo yote hapo juu ni wingi wa matangazo ya biashara ambayo yatamiminika katika mtandao husika, na wamiliki kunufaika kwa malipo ya matangazo hayo.
kuna mitandao ya aina mbili katika misingi ya content (not necessarily exact)
Moja, Mitandao ambayo wamiliki ndo wanahusika na kuweka content, na pili ile ambayo wamiliki ni regulators/moderators na subscribers ndo wahusika wakuu wa content insertion and update i.e. you tube, Jf
Tatizo langu ni je kwa nini JF haiwalipi Subscribers wake?? hasa wale ambao wanaongoza kwa post zinazotazamwa sana na zile zinazoongoza kwa kuwavutia watu kutoa michango mingi, au watu wanaoongoza kwa kupost thread nyingi??
wenzenu, You Tube, wanalipa subscribers wao, hata facebook wameanza kulipa. Unakuta mtu umepost thread na imesomwa na watu 100,000 na ina michango Zaidi ya 200 lakini hulipwi, But kwa misingi ya biashara inamaanisha thread yako imesababisha tangazo la biashara lililoko Jf kuonwa au kusomwa na watu Zaidi ya 100,000. For really you deserve something
karibuni kwa mjadara wakuu, kwa nini hatulipwi na uongozi wa JF