Kwanini hatujaruhusiwa "kumuaga" madiba!!

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,669
1,500
Ndugu wanaukumbi
Nimeleta hoja hii kwenu kupata ufafanuzi juu ya kumuaga baba yetu kipenzi mzee Madiba.
Mamilioni ya watu wanafuatilia shughuli ya mazishi kupitia runinga. Hoja yangu hapa ni kwanini watu walio kwenye eneo la tukio wanaruhusiwa kuingia kumuona marehemu , lakini wamekataza picha, au video ndani hivo kutukosesha watu wengi tukio hili muhimu la kumuaga kipenzi chetu.
Hivi inawezekana wamefanya hivi ili watu wengi wahudhurie, ama nisababu za kimila au za Kidini?
 

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,732
1,500
Hivi Zuma ni member wa JF?,maana nadhani ni yeye tu anayeweza kujibu hayo maswali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom