Kwanini hataki kabisa kukosolewa, sijui tatizo ni nini?

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Moja ya jambo ambalo linanisikitisha kwa Mh ni hili la kujihami. Amekuwa mtu aliyetengeneza mazingira ya kutokosolewa, akikosolewa tu basi ujue umejitakia matatizo lolote linaweza kukuta.

Ili kudhihirisha hili moja kuonesha hofu hiyo aliagiza Bunge lisioneshwe mubashara kuhofia kuwa wananchi watashuhudia mijadala mbali mbali ya kukosoa utawala wake na kuibua madudu kitu ambacho inaonekana hafurahishwi nacho. Walikuja na kisingizio cha gharama, lakini walipojitokeza wadhamini was vipindi vya Bunge wakaja na sababu ya kupoteza muda badala ya kufanya kazi. Hizi ni sababu dhaifu mno.

Jambo lingine ni kamata kamata ya watu walioonekana kuhoji mambo anuai kwa yeye ama utawala wake, mathalani Godbless Lema na sasa Ben Saanane kapotea na haijulikani kapotelewa wapi na Serikali imekaa kimya. Japokuwa inafahamika kuwa naye alihoji PhD ya Mkuu.

Vyombo vya Habari pia vimetungiwa sheria ambayo inavikandamiza. Hii ikiwa na maana kwamba habari za kuandika ni zile za kusifia Utawala tu.

Je, ni kweli Mungu anaruhusu haya yanayotekea maana tumeambiwa tumuombee kwa Mungu?

Kwanini hataki Kukosolewa na hali ni Binadamu?

NB: Mh Ungewaacha Waongee mwisho wake watatulia wenyewe, wapuuze tu na hawana madhara kwako maaana wewe ndiwe Boss.
 
jamaa anajistukia kama anaoga nje vile
 
wewe Lofa na mpumbavu nchi hii wamepotea watu wengi sana si BEN tuu ITV wanatangazwa kama watatu kila siku wamepotea..... una hakika serikali ina husika?
 
"The final proof of greatness lies in being
able to endure criticism without resentment."
--Elbert Hubbard
 
Kwa hiyo tukusaidiaje sasa kabda?
 
Tumia akili kidogo mkuu!!!
Kuihusisha serikali kwa kutoonekana kwa Ben bila kufanya utafiti Na kujiridhisha ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!!
kwanini unadhani hajatumia akilini? mimi nadhani hiyo ni moja ya dhana kati ya nyingi zinazo weza kusaidia kueleza kupotea kwa Ben, sasa wewe ndio hujatumia akili kwasababu hujaja na hoja badala yake unakuja na matusi na kejeli. wewe unasumbuliwa na masilahi unayo yapata kwa mtuhumiwa..
 
wewe Lofa na mpumbavu nchi hii wamepotea watu wengi sana si BEN tuu ITV wanatangazwa kama watatu kila siku wamepotea..... una hakika serikali ina husika?
kumtambua mtu mjinga ni rahisi sana. Hukimbilia matusi badala ya hoja.Kupotea kwa watu siyo hoja,ila akipotea EINSTEIN miongoni mwetu lazima tushangae. lakini pia kwanini serikali hairuhusu kufuatilia mawasiliano ya Ben mpaka siku aliyo toweka? wana masilahi yoyote na kupotea kwake?
 
wewe Lofa na mpumbavu nchi hii wamepotea watu wengi sana si BEN tuu ITV wanatangazwa kama watatu kila siku wamepotea..... una hakika serikali ina husika?
Kazi ya Serikali kupitia Jeshi la Polisi ni ipi mkuu? Usinitukane bure maana waweza kuwa wewe ndiyo mwenye matatizo.
 
Moja ya jambo ambalo linanisikitisha kwa Mh ni hili la kujihami. Amekuwa mtu aliyetengeneza mazingira ya kutokosolewa, akikosolewa tu basi ujue umejitakia matatizo lolote linaweza kukuta.
Ili kudhihirisha hili moja kuonesha hofu hiyo aliagiza Bunge lisioneshwe mubashara kuhofia kuwa wananchi watashuhudia mijadala mbali mbali ya kukosoa utawala wake na kuibua madudu kitu ambacho inaonekana hafurahishwi nacho. Walikuja na kisingizio cha gharama, lakini walipojitokeza wadhamini was vipindi vya Bunge wakaja na sababu ya kupoteza muda badala ya kufanya kazi. Hizi ni sababu dhaifu mno.

Jambo lingine ni kamata kamata ya watu walioonekana kuhoji mambo anuai kwa yeye ama utawala wake, mathalani Godbless Lema na sasa Ben Saanane kapotea na haijulikani kapotelewa wapi na Serikali imekaa kimya. Japokuwa inafahamika kuwa naye alihoji PhD ya Mkuu.

Vyombo vya Habari pia vimetungiwa sheria ambayo inavikandamiza. Hii ikiwa na maana kwamba habari za kuandika ni zile za kusifia Utawala tu.

Je, ni kweli Mungu anaruhusu haya yanayotekea maana tumeambiwa tumuombee kwa Mungu?
Kwanini hataki Kukosolewa na hali ni Binadamu?

NB: Mh Ungewaacha Waongee mwisho wake watatulia wenyewe, wapuuze tu na hawana madhara kwako maaana wewe ndiwe Boss.
Mnakosoa au mnapotosha??

Nani hapa duniani wa kupokea ushauri wa Nyumbu?
 
Ni kwa nini vibendera wa Lumumba mnayumbayumba, badala ya kujadili kilicholetwa ninyi mnamjadili mleda mada na kuporomosha mitusi kuweni wastaarabu basi
Wamepanic mkuu, kuna ukweli wanaijua bila shaka.
 
Ni kweli pale mwanzoni alikuwa sensitive katika kukosolewa, maana hakuwa amejua yanayoambatana na UTAWALA kwamba ni TOFAUTI na UWAZIRI maana ukiwa mtawala hata UKIFANYA ZURI wengine WATAKUCHUKIA tu kwa sababu .zao.

Lakini kadri muda ulivyoenda AMEZOEA na anashoki za kutosha kwa kila BONDE!
Mara nyingi TUMEMKOSOA sijasikia AKIFOKA!.

Kosa tu ni KUKOSOA na MATUSI na DHARAU katika hasa heshima ya URAIS/Presidency ambacho ni kiunganisho cha taifa.

Yeye kama Magufuli unaweza hata kumchora KATUNI na hakuna atakayekukamata ili mradi unatuma ujumbe fulani lakini si MATUSI.
Hata WEWE mwenyewe ukikosolewa na kutusiwa utafurahi?
Tafakari hayo!
 
Mbona sie tunakosoa na ndio kwanza polisi hawana habari na sisi; tena saa zingine wanasema muache namjua.

Tatizo sio kukosoa bali matusi na kuikosea heshima taasisi ya uraisi. Na hakuna nchi itakuwacha kama ukivuka mipaka na kuingia personal. Wamarekani walimfanya nini Vince Foster alipotaka kutoa ya ndani ya kina Clinton kipindi cha uraisi wake.

Kuna tofauti ya kukosoa na kukosa heshima na kwa kweli kuna watu wanavuka mipaka.
 
Hakuna kitu kama hicho, yeye anajitengenezea defensive fuani hivi ili asikosolewe, yeye anataka aonekane yupo sawa tu. Kama wakikukosoa unapungukiwa na nini?
 
Mbona sie tunakosoa na ndio kwanza polisi hawana habari na sisi; tena saa zingine wanasema muache namjua.

Tatizo sio kukosoa bali matusi na kuikosea heshima taasisi ya uraisi. Na hakuna nchi itakuwacha kama ukivuka mipaka na kuingia personal. Wamarekani walimfanya nini Vince Foster alipotaka kutoa ya ndani ya kina Clinton kipindi cha uraisi wake.

Kuna tofauti ya kukosoa na kukosa heshima na kwa kweli kuna watu wanavuka mipaka.
Kwahiyo ni kweli Ben mko naye? Maana Serikali ipo kimya?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom