Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 841
Bado sijamuelewa mleta hii topic kalenga nini?Maana sisi wengine tuna mkosoa kwa sana na panapo staili kupongeza tufanya hivyo bila shida.
Tatizo la wengine wanateswa na unafiki wao wanangalia yale ya kukosoa yale ya kupongeza wanajidai mataahira hawayaoni.
Lakini mbona waTz tuna kuwa wa sahaulifu!!!. Hivi hamjui Mh JPM ameupata uongozi mkuu wa nchi hii kwa sifa zake za utumishi wa umma ulio kuwa wa heshima na kutukuka? Ni kweli kuwa tumesahau hili?. Walio kuwa wanajitembeza kuusaka urais hamkuwaona? Mmewasahau?
Ange kuwa hashauriki hayo aliyo ya fanya kwenye wizara alizopotia kama Naibu na Waziri mpaka ya kumpa heshima hii wote tunayo ikiri kwa jinsi ya utendaji wake,, Kwa vipi haya ya ngewezekana kama hashauriki?
Wito wangu ni tujitahidi kumsupport Mr President maana wengine hatuna shaka na dhamira yake njema kwa Taifa hili na sisi wananchi kwa ujumla. Mkumbuke pamoja na kwamba yeye ni Rais wetu bado ni mwanadamu si malaika kina chotakiwa kwetu wananchi na hasa wanao msaidia kazi kujiamini na kumpa ushauri wenye nia njema mbao hata unapo jihoji mwenyewe nafsi yako haikusuti kuwa hakika ulikuwa na nia njema ya huo ushauri.
Na washawasha!