Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Mbona hata Mond uwa analitumia au naye uwa anataka aonewe huruma?Siku hizi Harmonize anautumia sana huu msemo..
Nimemuona akisema hivi kadhaa hasa anapoitwa kwenye Interviews zake.
Jana baada ya kupita pita mtandaoni nikakutana na video moja YouTube inayohusu ile shoo yake ya CCM Dodoma, kabla hajamtambulisha msanii wake Ibrah akaliweka tena hili neno..
"Kwa kuwa sisi tunatoka kwenye familia za kimaskini na tunasaidiana wenyewe kwa wenyewe..."
Sababu ya kusema hivi ni nini?
Anataka tumuonee huruma au vipi??
Ogopa sana watu wanaopenda kutumia neno jumuishi maana uwa mara nyingi wanapenda kutumia watu. Mfano ukiwa fundi tajiri anakwambia sikia we fanya kazi kwa bidii ujenge nyumba yetu (wakati yake na familia yake) halafu kuna rafiki zangu wanajenga nitakufanyia mpango ukawajengee, jua unaliwa.