Kwanini hamna spirit(gongo) ya ulanzi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,204
12,700
Eti wataalamu kwanini hatutengenezi spirit/gongo ya ulanzi? Utakuta kuna kila aina ya gongo, Vodka ya viazi. Whisky ya shayiri, tequila ya agave, brandy ya zabibu, rum ya miwa, gin sijui ya mahindi, rubisi sijui ndiyo ya ndizi, nakadhalika, nakadhalika.

Karibu pombe yoyote unaweza kuidistill na kutengeneza gongo. Ambayo ukiistandardize unapata kitu bora kabisa. Nini kinazuia kuwa na gongo safi ya ulanzi?

Kwanini tunakunywa gongo za ajabu kama Kitoko na hali kunapotential ya kupata gongo safi ya kimataifa kutoka kwenye ulanzi?
 
Ulanzi na mnazi hizi haziitaji raw materials kuzitengeneza, moja kwa moja wanagema kutoka kwenye mimea na tayari inakuwa pombe. Gongo na wenzake wanahitaji mchanganyiko wa vitu kama mahindi, mtama, ulezi, kinyesi, matunda n.k. so distillation kuongeza ukali.
labda wajaribu kuzitreat hizi ulanzi kuongeza ukali.
 
Ulanzi na mnazi hizi haziitaji raw materials kuzitengeneza, moja kwa moja wanagema kutoka kwenye mimea na tayari inakuwa pombe. Gongo na wenzake wanahitaji mchanganyiko wa vitu kama mahindi, mtama, ulezi, kinyesi, matunda n.k. so distillation kuongeza ukali.
labda wajaribu kuzitreat hizi ulanzi kuongeza ukali.
Hata brandy iko namna hiyo. Zabibu ikichacha inakuwa wine. Ukidistill inakuwa brandy. Hawaongezi kitu.
 
NIPO NAFATILIA MADA HII KWA UMAKINI KABISAA, KAMA KUNA MTU ANAIJUA HIYO INSITILATION SIJUI ANISTUE MAAN A NIKO KWENYE VISIMA KABSA VYA ULANZI,
Unaweza fanya mkuu na ukapiga pesa ndefu. Kama huu ulanzi unaotoa pombe ungekuwa unaota nchi za wenzetu wangekuwa wamefanya zamani sana. Kikubwa ni ulanzi wa bei chee, matenki ya kuchachushia, distiller(mtambo wa gongo) na packaging. Na aging kama unataka kuifanya. Tena unaweza tengeneza mapipa ya mianzi kufanyia aging.
 
Naomba kujua bei ya ulanzi kwa lita moja au kipimo chochote kwa eneo ulilopo.

Na ule unaoelekea kuwa mkangafu pia tujue bei zake nahisi hii ni fursa nzuri kwa sisi wanasayansi.

Tajiri mmoja anifund mi nianze risechi hapa. Mwanasayansi nipo😏. Maswali mazungumzo na walio interested tuunganishe mawazo, akili, nguvu na mtaji tuone tunapataje kitu hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom