Kwanini, Halmashauri za Wilaya zinalazimisha mchango wa sh 10000/ na sh 5000/ za Mwenge?

road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,370
2,000
Kuna wakati serikali ya ccm hujitakia kuchukiwa na watu bila sababu za misingi kutokana na dhuluma viongizi wanazowafanyia watu.

Halmashauri ya Mwanga kilimanjaro na Same zimesha jiingiza katika mtego huo,Watumishi wote wakiwamo,walimu,manesi,watumishi wa kilimo na mifugo wamelazimishwa kulipa michango ya sh 10000/,15000/na sh 5000/ kulingana na cheo cha mtumishi husika kama fedha za kusaidia shughuli za kuzungusha mwenge.

Pia maelekezo hayo yanaendana na vitisho kwa ambaye hata toa.

Sasa inakuaje michango ya Mwenge uwe lazima!?? Kwan serikali haina bajeti ya Mwenge!???Hivi huyu mtumishi ambae serikali imeshindwa kumuongeza mshahara kwa miaka sita kwann anateswa hivi!?? Mtumishi ambae anauziwa lita ya maduta ya kula 6000/ kwann alazimishwe kuchangia mwenge!?

Mwanzoni walianza kutaka kulipiwa sh 2000/ kisha ikaja 3000/ leo ni sh 5000/ hizi hela mbona ni nyingi sana !!! Fikiria wilaya ina watumishi 1200+ kila mtu alipe sh 5000 au 10000!! Je, vipi kwa vilaya zote za Tz!?? Nani ana kagua hiz fedha?

Nasema huu ni wizi
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
15,418
2,000
Kuna wakati serikali ya ccm hujitakia kuchukiwa na watu bila sababu za misingi kutokana na dhuluma viongizi wanazowafanyia watu!!!
Halmashauri ya Mwanga kilimanjaro na Same zimesha jiingiza katika mtego huo,Watumishi wote wakiwamo,walimu,manesi,watumishi wa kilimo na mifugo wamelazimishwa kulipa michango ya sh 10000/,15000/na sh 5000/ kulingana na cheo cha mtumishi husika kama fedha za kusaidia shughuli za kuzungusha mwenge!!!
Pia maelekezo hayo yanaendana na vitisho kwa ambaye hata toa!
Sasa inakuaje michango ya Mwenge uwe lazima!?? Kwan serikali haina bajeti ya Mwenge!???Hivi huyu mtumishi ambae serikali imeshindwa kumuongeza mshahara kwa miaka sita kwann anateswa hivi!?? Mtumishi ambae anauziwa lita ya maduta ya kula 6000/ kwann alazimishwe kuchangia mwenge!?? .
Mwanzoni walianza kutaka kulipiwa sh 2000/ kisha ikaja 3000/ leo ni sh 5000/ hizi hela mbona ni nyingi sana !!! Fikiria wilaya ina watumishi 1200+ kila mtu alipe sh 5000 au 10000!! Je, vipi kwa vilaya zote za Tz!?? Nani ana kagua hiz fedha!??
Nasema huu ni wizi
Kua mzalendo CHANGIA Mwenge
 
The Conscious

Member
Mar 18, 2021
62
150
Hayo makato labda yaingizwe kwenye salary slip ndiyo tutachangia vinginevyo haitawezekana hata kama ingekuwa mchango ni Tsh mia!
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,526
2,000
Waziri mkuchika aliwahi kutoa kauli ya serikali juu hili swala kuwa mchango wa mwenge ni wa hiari si lazima,akasisitiza kuwa mtumishi asiyetoa aachwe wala asibuguziwe kwa kupewa vitisho au adhabu
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,476
2,000
Kuna wakati serikali ya ccm hujitakia kuchukiwa na watu bila sababu za misingi kutokana na dhuluma viongizi wanazowafanyia watu.

Halmashauri ya Mwanga kilimanjaro na Same zimesha jiingiza katika mtego huo,Watumishi wote wakiwamo,walimu,manesi,watumishi wa kilimo na mifugo wamelazimishwa kulipa michango ya sh 10000/,15000/na sh 5000/ kulingana na cheo cha mtumishi husika kama fedha za kusaidia shughuli za kuzungusha mwenge.

Pia maelekezo hayo yanaendana na vitisho kwa ambaye hata toa.

Sasa inakuaje michango ya Mwenge uwe lazima!?? Kwan serikali haina bajeti ya Mwenge!???Hivi huyu mtumishi ambae serikali imeshindwa kumuongeza mshahara kwa miaka sita kwann anateswa hivi!?? Mtumishi ambae anauziwa lita ya maduta ya kula 6000/ kwann alazimishwe kuchangia mwenge!?

Mwanzoni walianza kutaka kulipiwa sh 2000/ kisha ikaja 3000/ leo ni sh 5000/ hizi hela mbona ni nyingi sana !!! Fikiria wilaya ina watumishi 1200+ kila mtu alipe sh 5000 au 10000!! Je, vipi kwa vilaya zote za Tz!?? Nani ana kagua hiz fedha?

Nasema huu ni wizi
Nyie waalimu ndio mlikuwa viherehere kuibia kura CCM. Pambaneni na hali zenu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom