Kwanini hakuna Tusker Lager Southern Highlands? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini hakuna Tusker Lager Southern Highlands?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tusker Bariiiidi, Jul 4, 2009.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Habari Wana JF,nipo kanda ya nyanda za juu kusini yaani Iringa,Mbeya,Ruvuma na Rukwa. Nimeskitishwa na kutokuwepo kwa bia laini na tamu TUSKER LAGER,na nimejaribu kuuliza kwa wamiliki wa baa na Pub mbalimbali wakiwemo watu wa mauzo wa TBL kwanini Precious water hamna na kupata majibu yasiyoridhisha.
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Uko sehemu gani mbona Mbeya zipo na hata Iringa zimejaa bwerere. Kwa maelekezo zaidi unaweza kuniPM ili nikuelekeze baa
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!ha!ha!ha! mkuu huko hizo lazima ziwe adimu.....kuna baridi sana so wanapenda sana Safari, Ze bingwa na pombe kali mkuu.....! pole!
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Chiefm Tz nipo Mbeya kwa sasa... Nipo Karembu Bar nanywa Kili ya kopo... Kwa shida. Nimeenda Mbeya Hotel,Savoy (Mafiat),Mbeya Paradise,Classic Pub,2000 Pub hata Mkapa Hall pia...
   
Loading...