Kwanini Hakuna Tanroad TV kama ilivyo TRC TV?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Kwangu mimi Tanroad ndio taasisi ambayo haitoi taarifa zake kwa usahihi.

Mfano.. ukitaka kujua miradi inayo endelea au iliuo isha kwa sasa hakuna sehemu utapata taarifa hiyo.

Website yao ina data za 2002 huko.

Tanroad ndio taasisi ambayo inakula pesa nyingi za wananchi lakini hakuna uwazi kama taasisi nyingine.

Nadhani taasisi nzima ni civil engineers wao ni kazi tuu hata kama wanakosea.

IMG-20190927-WA0084.jpeg
 
..TRC TV ni matumizi yasiyo ya lazima.

..miradi inayotekelezwa wakati huu habari zake zitangazwe na vyombo rasmi vya habari, na siyo kila mradi kuwa na TV au gazeti lake.
 
..TRC TV ni matumizi yasiyo ya lazima.

..miradi inayotekelezwa wakati huu habari zake zitangazwe na vyombo rasmi vya habari, na siyo kila mradi kuwa na TV au gazeti lake.
It's the other way round. Taasisi za umma ambazo na za key public utilities ikiwemo kama posta, umeme, maji, mawasiliano, transport, works etc lazima ziwe na very effective public communications na kuendesha public information programs.
Wenzetu sio tuu wana majarida yao, wana TV na redio zao!.

P
 
..I beg to respectfully disagree with you.

..kuna kipindi hapa Tz mashirika ya umma yalikuwa na vyombo vya habari, na mengine yalikuwa mpaka na timu za mpira na bendi za muziki.

..public information programs unayoizungumzia inaweza kufanywa na kwa kushirikisha vyombo vya habari vya umma, au binafsi.

..huu utaratibu tunaopigiwa debe utapelekea atcl, stieglers gorge, tanroads, tarura, elimu bure, afya bure, etc etc kuwa na vyombo vyao vya habari.

..nadhani utaratibu huo tulishaujaribi wakati wa ujamaa na tukafeli.
 
Samahani TV tunayo izungumzia hapa ni online..

Ila pia tanroad hata website yao haina content zaidi ya tenda ambazo nazo si zote.

Kwa ukweli tanroad wapo nyuma sana kwenye uwazi wa shughli zao.

Wananchi tunahaki ya kujua kila kinacho endelea kwenye ujenzi.

Walau hata kwenye website yao kungekua na updates za miradi yote.

Mfano nikitaka kujua miradi inayosimamiwa na tanroad kigoma .. niwe na uwezo wa kuchagua mkoa na miradi yote naioa.

Tanroad ni mdudu anaye penda giza.
 
Kwangu mimi Tanroad ndio taasisi ambayo haitoi taarifa zake kwa usahihi.

Mfano.. ukitaka kujua miradi inayo endelea au iliuo isha kwa sasa hakuna sehemu utapata taarifa hiyo.

Website yao ina data za 2002 huko.

Tanroad ndio taasisi ambayo inakula pesa nyingi za wananchi lakini hakuna uwazi kama taasisi nyingine.

Nadhani taasisi nzima ni civil engineers wao ni kazi tuu hata kama wanakosea.

View attachment 1218117
TRC ni nini?
 
Baadhi ya online TV za taasisi ambazo zinafanya vizuri

Bandar online TV

TRC online TV

Back
Top Bottom