mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Kuna siri gani kuweka namba 13 gest? Kama kuna mjuzi yyte aniambie
Kuna nnSiyo uuest house tu ni hotel pia
Kuna siri gani kuweka namba 13 gest? Kama kuna mjuzi yyte aniambie
Ingependeza kama ungepita guest house 5 chap chap uwaulize wahudumu watakupa majibu fasaha sana then uyalete hapa.
[/QUOTE
Acha nende gugo
KumbeNamba 13 sio namba ya mkosi, ni namba ya ukamilifu kama namba 4.
Kuna nn
Bahati mbaya zaidi nimezaliwa siku hii ambayo nisiku yamikosi inavyosemekana
Kuna siri gani kuweka namba 13 gest? Kama kuna mjuzi yyte aniambie