Kwanini habari za chama cha wananchi CUF haziandikwi wala kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari?

Ziandikwe kwa kupokelewa kwa Lipumba? ana msaada gani katika taifa hili na amejenga historia gani kwa watanzania?? yeye shida yake Ikulu tuu ndiyo aweze kuwatumikiwa watanzania eti kisa professor..Kina Cheyo na Mrema na Mbowe waliutaka urais ila sasa wapo bungeni wanaendeleza kazi japo sijui kama ni ya upinzania sanaaaa kwa baadhi yao.
Huna mpango na mapenzi yako kwa CUF
 
....Si lazima CUF iandikwe magazetini na au itangazwe rediono au ionyeshwe runingani! Kila chombo cha habari kina sera yake; na vilevile, hata waandishi wa habari wana mitazamo na falsafa zo, siyo?! Wataandika kwa jinsi vile wanavyoona wao (kama waandishi) inafaa kuandika...mwisho wa yte; habari hata isipoandikwa (kama ni habari - topical issue) lazima itazumngumzwa na watu wanayetafuta "habari" na si "propaganda". Unajua mara zote habari ya kweli ni ile inayoakisi ukweli wa habari na si habari inayolazimishwa iwe ilhali yenyewe (kama habari) si habari inayostahili kupewa kichwa cha habari. Kwa kawaida uandishi unategemea nani anaanidka nini na kwa nini anaandika na anamuandikia nani, siyo?! Wapo waandihsi wanaoandika habari kwa ushabiki na au utashi wa itikadi (iwe ya chama cha siasa au mtazamo wa kidini) na wapo wale wanaoandika ili wauze habari kwenye chombo husika cha habari (gazeti, redio au runinga)...na mwisho wa yote walaji (consumers) wa habari ndio wanaoweza kutafuta ukweli wa habari iliyoandikwa!

Hata habari za CUF zisipoandikwa; na hata kama zitafichwa, wananchi wanaoziona habari hizo wataujua ukweli wa habari (kwa uchunguzi wa macho yao na mantiki ya akili zao) na kwa wenye akili watajua nini kinachoendelea. Mwisho, nisiwasemee wenye vyombo vya habari; wanatumia vyombo vyao kwa fada na amslahi yao (a kibiashara) na au ya kisiasa kwa vile hakuna chombo cha habari kisichokuwa na malengo yake.
 
Habari za CUF huandikwa pindi likitokea lenye mwelekeo hasi kwa chama, lakini lenye mwelekeo chanya haliandikwi na wala halitangazwi abadan.
 
tatizo mfumo, ...
Hawa wadudu kila kitu wanaita mfumo, yaani watanzania wakipata msamiati, utatumika kweli kweli; sasa hivi wimbo ni mfumo, hata mtu akifeli mtihani katika shule bora kabisa kama Feza Girls, anasingizia mfumo !
 
Wengi tuko Arumeru ndizo habari zinazouza magazeti kwa sasa.

CCM tuko Arumeru, Chadema wako Arumeru, CUF watusubiri kwanza hadi uchaguzi utakapoisha wataanza kuandikwa.

hivi mtu au kitu kikisha kufa huwa kinakumbukwa......nafikiri huwa kinasahaulika.
 
Heshima kwako Shakeel,

Mkuu wangu Shakeel ni kweli CUF habari zake hazipewi umuhimu katika vyombo vingi vya habari Tanzania bara sijui upande wa Zanzibar kama hali ni kama ya huku bara.Zipo sababu nyingi ambazo zimesababisha CUF kupuuzwa na vyombo vya habari upande wa Tanzania bara nitajaribu kuainisha kwa ufupi sana.

Siasa za CUF zimejikita zaidi Zanzibar.Vyombo vingi vya habari upande wa Tanzania bara vinapendelea kuhabarisha umma wa waTanzania habari zinazogusa maisha yao ya kila siku.Ukitaka kuandika habari zinazowagusa wananchi wengi hakika CUF haimo kabisa.Fuatilia michango ya wabunge wa CUF katika vikao vya bunge kuanzia mwaka 1995 mpaka leo utagundua wako pale kwaajili ya maslahi ya Zanzibar hata katika masuala ya kijinga.Sijawahi kusikia mbunge wa CUF akipinga ufisadi kama ule wa EPA,DEEP GREEN na RICHMOND lakini wako mstari wa mbele kutetea Zanzibar kuitwa nchi,mgawo wa misaada na nk.

Malengo ya CUF ni kushika serekali ya Zanzibar,jambo hili limefanywa siri kubwa ili kukidhi matakwa ya kisheria bahati mbaya baadhi ya viongozi wao wameshindwa kuficha uhalifu wa wakuwatenga waTanganyika.

Mapokezi ya Prof Lipumba hayana maana yoyote watu wenye akili nzuri tumeshajua CUF ni chama cha wapemba mwenye nguvu ni katibu mkuu wa maisha Maalimu Seif na wapemba wenzake.

Hi ni kwani nini siku hizi vyombo vingi vya habari hapa nchini vimekuwa havitoi habari kuhusiana na chama cha wananchi (cuf) nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa cuf wamekuwa wakifanya mikutano mikubwa ya hadhara lakini kesho yake hakuna hata chombo kimoja cha habari kitakacho kuwa kimetoa habari ya jumapili tarehe 11/03/2012 walifanya mapokezi makubwa sana ya kiongozi wao kwa takwimu za haraka hakuna mapokezi makubwa kama yale kutokea tanzania ukiondoa msiba wa baba wa taifa labda ndio yanaweza fanana kwani yaliyazidi mapokezi ya papa mwaka 1990 na mandela pia alipotembelea tanzania lakini chakushangaza jumatatu yake hakuna hata sehemu yalipotangazwa mbaya zaidi nilikuwa naangalia taarifa ya habari waandishi wa itv walisema wameshindwa pata habari zaidi kutokana na kutishiwa kupingwa na mashabiki wa cuf japo jambo hili si kweli kwani toka kampeni za uhaguzi mwaka 2010 itv imekuwa haitohi kabisa habari za cuf labda tbc ndio imekuwa ikionyesha habari za cuf japo kwa udogo

sasa huwa najiuliza chanzo ni nini? Mpaka tumekuwa tunalazimishwa kusikilizishwa sera za kukopi za vyama viwili tu. Au wahariri nao siku hizi wamekuwa kama madj hawatohi habari mpaka kitu kidogo kwanza

maana kama wanachama cuf bado wako wengi na mapokezi yalidhililisha hilo hata slaa alijionea umati ulivyo jaa irport tarehee 11/3 2012 kweli bongo hakuna wasomi wenye kujijua watu wote wamekuwa watumwa wa wana siasa
kwa sababu kutoandika habari za vikao au mikutano ya vyama vingine ni kutunyima haki yetu wananchi kuchagua chama chenye sera nzuri.
 
Kumbuka vyombo vya habari vinafanya biashara ya magazeti; hawawezi kuuza magazeti yao kwa kuandika habari ya chama kinachokufa. Hakuna news tena toka CUF, kiacheni tu kipumzike kwa amani!
 
CUF Haina wanachama, ni wachache sana kwa kiasi cha ukiweka habari yao ukurasa wa mbele watu hawanunui sana.... Kingine ni hawana jipya maana hata uchaguzi wa Arumeru wameshindwa kumsimsmisha mgombea...

Issue nyingine ni kwamba CUF imegawanyika vipande...
 
Hi ni kwani nini siku hizi vyombo vingi vya habari hapa nchini vimekuwa havitoi habari kuhusiana na chama cha wananchi (cuf) nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa cuf wamekuwa wakifanya mikutano mikubwa ya hadhara lakini kesho yake hakuna hata chombo kimoja cha habari kitakacho kuwa kimetoa habari ya jumapili tarehe 11/03/2012 walifanya mapokezi makubwa sana ya kiongozi wao kwa takwimu za haraka hakuna mapokezi makubwa kama yale kutokea tanzania ukiondoa msiba wa baba wa taifa labda ndio yanaweza fanana kwani yaliyazidi mapokezi ya papa mwaka 1990 na mandela pia alipotembelea tanzania lakini chakushangaza jumatatu yake hakuna hata sehemu yalipotangazwa mbaya zaidi nilikuwa naangalia taarifa ya habari waandishi wa itv walisema wameshindwa pata habari zaidi kutokana na kutishiwa kupingwa na mashabiki wa cuf japo jambo hili si kweli kwani toka kampeni za uhaguzi mwaka 2010 itv imekuwa haitohi kabisa habari za cuf labda tbc ndio imekuwa ikionyesha habari za cuf japo kwa udogo

sasa huwa najiuliza chanzo ni nini? Mpaka tumekuwa tunalazimishwa kusikilizishwa sera za kukopi za vyama viwili tu. Au wahariri nao siku hizi wamekuwa kama madj hawatohi habari mpaka kitu kidogo kwanza

maana kama wanachama cuf bado wako wengi na mapokezi yalidhililisha hilo hata slaa alijionea umati ulivyo jaa irport tarehee 11/3 2012 kweli bongo hakuna wasomi wenye kujijua watu wote wamekuwa watumwa wa wana siasa
kwa sababu kutoandika habari za vikao au mikutano ya vyama vingine ni kutunyima haki yetu wananchi kuchagua chama chenye sera nzuri.
Uzao wa 'mama mdogo' sijui una laana ama vipi...!? Si ndiyo CUF haohao walitaka kuwapiga waandishi wa habari wa ITV waliokuwepo pale Uwanjani mpaka ikabidi waondoke pale? Sasa kama mnafanya uhasama na vyombo vya habari utategemeaje vyombo hivyohivyo vionyeshe habari yako? ama kweli...!
 
Wewe jamaa kumbe mnafiki kiasi hiki! Kila siku unapika kelele humu JF za udini kumbe huna lolote, mdini mkubwa wewe tena mnafiki, kwa hiyo CDM yenu ni kwa ajili ya Wakirstu nyie ndiyo mnaemualibia Dk Slaa, kwa style hii CDM hawawezi kuchukuwa nchi kwa kutegemea wakiristu peke yao.

Mkuu wangu udini wangu uko wapi? Mimi nimesema ukweli mtupu.Tafuta magazeti ya Annuur,Alhudaa na Fahamu kama hutapata habari za CUF.Kwa kuanzia kanunue Annuur la leo.Pili kwanini unatoka povu kuambiwa haya magazeti yanatoa zaidi habari ya CUF? Mnataka iwe siri? Mna agenda gani?
 
Heshima kwako Shakeel,

Mkuu wangu Shakeel ni kweli CUF habari zake hazipewi umuhimu katika vyombo vingi vya habari Tanzania bara sijui upande wa Zanzibar kama hali ni kama ya huku bara.Zipo sababu nyingi ambazo zimesababisha CUF kupuuzwa na vyombo vya habari upande wa Tanzania bara nitajaribu kuainisha kwa ufupi sana.

Siasa za CUF zimejikita zaidi Zanzibar.Vyombo vingi vya habari upande wa Tanzania bara vinapendelea kuhabarisha umma wa waTanzania habari zinazogusa maisha yao ya kila siku.Ukitaka kuandika habari zinazowagusa wananchi wengi hakika CUF haimo kabisa.Fuatilia michango ya wabunge wa CUF katika vikao vya bunge kuanzia mwaka 1995 mpaka leo utagundua wako pale kwaajili ya maslahi ya Zanzibar hata katika masuala ya kijinga.Sijawahi kusikia mbunge wa CUF akipinga ufisadi kama ule wa EPA,DEEP GREEN na RICHMOND lakini wako mstari wa mbele kutetea Zanzibar kuitwa nchi,mgawo wa misaada na nk.

Malengo ya CUF ni kushika serekali ya Zanzibar,jambo hili limefanywa siri kubwa ili kukidhi matakwa ya kisheria bahati mbaya baadhi ya viongozi wao wameshindwa kuficha uhalifu wa wakuwatenga waTanganyika.

Mapokezi ya Prof Lipumba hayana maana yoyote watu wenye akili nzuri tumeshajua CUF ni chama cha wapemba mwenye nguvu ni katibu mkuu wa maisha Maalimu Seif na wapemba wenzake.

Yeyote aliye timamu huhitaji kuwa msomi sanaaaaaa kuelewa alichoandika ngongo!
vyombo vya habari vyenye nguvu viko bara, wateja wao wakuu ni Wabara....maisha ya Kila siku ndio priority kwny tatizo warekebishe.....wenzetu wa Znz wacko kiZanzibari zaidi.....kwa nini wa bara wasideal na problems zao wang'ang'ane na CUF ya Wazanzibari?! Kama washajikomboa ni wao na bara inahitajika ukombozi wa kivyetu....wakajiandike Zanzibar Leo, redio kuna Zenji Fm na nyinginezo sijui Cococnut whatever.
inasikitisha sana kuona Msomi Kama Prof. Lipumba anaridhia chama kusacrifice kugombea Arumeru kissa tu bajeti ihamishiwe kwenye mapokezi yake. Haya keshapokelewa So what!! Kuna nini cha ziada? Usomi wake unasaidia nini endapo ameshindwa kujibu hoja zilizotolewa na kina HR na Doyo kuhusu matumizi mabovu ya fedha za chama, chama kujikita zaidi Zanzibar na kuisahau Bara kiutendaji na nyenginezo Kama hizo?!
keshokutwa anarudi zake Marekani, Je? Ni kweli ana moyo wa dhati wa kuwasaidia watanzania AMA Sio anasubiri 2015 aje tena kugombea Urais? Prof. Zama zimebadilika enzi za ndio mzee zishapita tunahitaji mabadiliko ya kisiasa na viongozi walioko kwa maendeleo ya Taifa letu....Binafsi nakuona zaidi Kama MChumi kuliko mwanasiasa. bora ubaki kwenye taaluma Yako kwani heshima Yako ni Kubwa mno ambapo Hawa waliokuzunguka watakuharibia uonekane nawe ndio walewale. Vipi kauli ya jussa kule Uzini ya "tumeshindwa kwa sababu Uzini kuna Wakristo na Wabara wengi" huwezi kusafisha aina hii ya uozo.....unajidanganya.
 
Hi ni kwani nini siku hizi vyombo vingi vya habari hapa nchini vimekuwa havitoi habari kuhusiana na chama cha wananchi (cuf) nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa cuf wamekuwa wakifanya mikutano mikubwa ya hadhara lakini kesho yake hakuna hata chombo kimoja cha habari kitakacho kuwa kimetoa habari ya jumapili tarehe 11/03/2012 walifanya mapokezi makubwa sana ya kiongozi wao kwa takwimu za haraka hakuna mapokezi makubwa kama yale kutokea tanzania ukiondoa msiba wa baba wa taifa labda ndio yanaweza fanana kwani yaliyazidi mapokezi ya papa mwaka 1990 na mandela pia alipotembelea tanzania lakini chakushangaza jumatatu yake hakuna hata sehemu yalipotangazwa mbaya zaidi nilikuwa naangalia taarifa ya habari waandishi wa itv walisema wameshindwa pata habari zaidi kutokana na kutishiwa kupingwa na mashabiki wa cuf japo jambo hili si kweli kwani toka kampeni za uhaguzi mwaka 2010 itv imekuwa haitohi kabisa habari za cuf labda tbc ndio imekuwa ikionyesha habari za cuf japo kwa udogo

sasa huwa najiuliza chanzo ni nini? Mpaka tumekuwa tunalazimishwa kusikilizishwa sera za kukopi za vyama viwili tu. Au wahariri nao siku hizi wamekuwa kama madj hawatohi habari mpaka kitu kidogo kwanza

maana kama wanachama cuf bado wako wengi na mapokezi yalidhililisha hilo hata slaa alijionea umati ulivyo jaa irport tarehee 11/3 2012 kweli bongo hakuna wasomi wenye kujijua watu wote wamekuwa watumwa wa wana siasa
kwa sababu kutoandika habari za vikao au mikutano ya vyama vingine ni kutunyima haki yetu wananchi kuchagua chama chenye sera nzuri.

Mioyoni mwa waTanganyika CUF ilishakufa hasa baada ya chuki za kibaguzi zilizotolewa na viongozi wake kupitia Naibu Katibu Mkuu Jussa.
CUF is bad news
CUF is more or less irrelevant kwa waTanganika wengi, pengine huko visiwani.
 
Yeyote aliye timamu huhitaji kuwa msomi sanaaaaaa kuelewa alichoandika ngongo!
vyombo vya habari vyenye nguvu viko bara, wateja wao wakuu ni Wabara....maisha ya Kila siku ndio priority kwny tatizo warekebishe.....wenzetu wa Znz wacko kiZanzibari zaidi.....kwa nini wa bara wasideal na problems zao wang'ang'ane na CUF ya Wazanzibari?! Kama washajikomboa ni wao na bara inahitajika ukombozi wa kivyetu....wakajiandike Zanzibar Leo, redio kuna Zenji Fm na nyinginezo sijui Cococnut whatever.
inasikitisha sana kuona Msomi Kama Prof. Lipumba anaridhia chama kusacrifice kugombea Arumeru kissa tu bajeti ihamishiwe kwenye mapokezi yake. Haya keshapokelewa So what!! Kuna nini cha ziada? Usomi wake unasaidia nini endapo ameshindwa kujibu hoja zilizotolewa na kina HR na Doyo kuhusu matumizi mabovu ya fedha za chama, chama kujikita zaidi Zanzibar na kuisahau Bara kiutendaji na nyenginezo Kama hizo?!
keshokutwa anarudi zake Marekani, Je? Ni kweli ana moyo wa dhati wa kuwasaidia watanzania AMA Sio anasubiri 2015 aje tena kugombea Urais? Prof. Zama zimebadilika enzi za ndio mzee zishapita tunahitaji mabadiliko ya kisiasa na viongozi walioko kwa maendeleo ya Taifa letu....Binafsi nakuona zaidi Kama MChumi kuliko mwanasiasa. bora ubaki kwenye taaluma Yako kwani heshima Yako ni Kubwa mno ambapo Hawa waliokuzunguka watakuharibia uonekane nawe ndio walewale. Vipi kauli ya jussa kule Uzini ya "tumeshindwa kwa sababu Uzini kuna Wakristo na Wabara wengi" huwezi kusafisha aina hii ya uozo.....unajidanganya.

Wewe ni mpambe wa HR.
 
Wewe ni mpambe wa HR.

Vipi......dozi imekuingia eeeeh!! Ninyi ndio aidha vibaraka wa Sultani AMA mafisadi wenyewe wa CCM B, zaidi utakuwa Mzanzibar na Kama Utakuwa waBara Na huusiki katika hizo sehemu Mbili nilizo-surgest basi utakuwa ni Zuzu hujitambui.
 
Cuf ni takataka kama wewe! Na HR.
 
si (cuf) wala (cdm ) inayo jishungulisha na udini bali ni siasa za ccm na chokochoko za baazi ya viongozi ndani ya vyama mfano jusa (ka mtaa haka kana wa katoliki wengi ndio maana tume shindwa ) yale ya kekete (vyama vingine vinaingiza dini kwenye siasa) yale ya lipumba (mahakama ya kadhi nilazima iingizwe kwenye katiba) yale ya radio yetu (mahakama ya kadhi ni lazima iwepo kwenye katiba yetu) yale ya kanisa (waumini wachague chama chenye muelekeo huu) na mengineyo mengi. Kwa nini tunakubali kuchafuana kwa sababu za kidini ambazo mwisho wake ni vita basi
 
Wameunda sirikali ya mshikamano wa kitaifa na ccm hivyo hakuna haja ya vyombo vya habari kurusha habari za cuf na ccm separately itakuwa ni kurusha habari ile ile. Subiri hadi ndoa itakapo vunjika

Hahaha. Sasa je? Akitangazwa CCM katangazwa CUF, kumbe mwatakaje?
 
Back
Top Bottom