LetterTo MyFather
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 308
- 648
Thread Closed!!Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini. Kiufupi ni teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant search engine result pages (SERP ).
"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).
Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated content sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.
Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya Neural network analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.
Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania na results za google zinakuwa unbiased.
Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na yako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007 kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.
View attachment 1098107