Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Jamaa hadi mods nahisi wanamuogopa

Si kweli na kama kweli hao Moderators wangekuwa ' wananiogopa ' basi wasingenipa ' BAN ' ya Wiki mbili ( Siku 14 ) ambayo imeisha rasmi jana. Acha Kuwasingizia Moderators wa JamiiForums mambo ambayo hawayafanyi na labda kwa kukusaidia tu sasan hakuna ' Member ' ambaye huwa ' ananyooshwa ' vilivyo kwa ' BAN ' hapa Jamvini kama Mimi GENTAMYCINE na uzuri ni kwamba ' BAN ' zao zote Kwangu huwa nazistahili Kuzipata kwakuwa kuna muda mwingine huwa ' nakangeuka / nakosea ' hivyo nami huwa nakuwa Mpole kusubiri hadi adhabu yangu imalizike na nawashukuru mno hao hao ' Moderators ' kwa kuniweka katika mstari Kimaadili na Kinidhamu pale nikiwa naenda Kinyume na taratibu za hili Jukwaa pendwa.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂huyu ndo Genta..mimi nakukumbukaga kwenye uzi wa lulu tu jaman..uliutoa last yr au 2017..mpk leo huwa nacheka!dah..Genta uko poa kinyama..sema usiwe unajibu watu wote wanaokutukana...mtawekwa as wote wahuni tu kumbe ww uhuni ulishaacha kitambo😄😄
Kumbe uko huku? Haya hebu nambie mimba yetu inaendeleaje?
 
Back
Top Bottom