Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Emok Jr

JF-Expert Member
Mar 17, 2018
1,094
795
GENTAMYCINE

Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama ‘MOSSAD’ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!

Haya na nyinyi mserereke na kutiririka kwa nini humjawahi mchokoza??
 
Hana lolote huyo.. mnamuogopea bure tu.. mngekuwa mnamsoma tangu enzi anajidai yeye ni fulani mara fulani hadi kuishia kujiweka kama mbabe mngejua ni hana lolote bali vijineno na alikuwa muongooo sana anajiweka ana maisha fulani siku ingine anaandika mengine.. eeeeeh

Burudani kusoma ya JF
 
Nadhan kwasababu kumsumbua mwenzio ni tabia ya kike, so wanaume wanakuwa hawataki kufanya hiyo tabia
 
Hana lolote huyo.. mnamuogopea bure tu.. mngekuwa mnamsoma tangu enzi anajidai yeye ni fulani mara fulani hadi kuishia kujiweka kama mbabe mngejua ni hana lolote bali vijineno na alikuwa muongooo sana anajiweka ana maisha fulani siku ingine anaandika mengine.. eeeeeh

Burudani kusoma ya JF

Nimekupa like lakini wew sikukubali kabisa
 
Back
Top Bottom