Kwanini Gazeti la Africa Confidential linamdhalilisha Rais wetu na Watanzania kwa ujumla?

V Kweli Tupu

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
951
527
Hili gazeti limuache raisi wetu JPM kama alivyo. Anafanya kazi nzuri kuweka nchi sawa maana ilioza kabisa. Miguu ukioza unakatwa ili mtu aokoe maisha kuto kuoza mwili mzima. Muheshima raisi wetu JPM anachokifanya ni kuondoa uoza ili watanzania tuwe na viwanda, shule bure, miundo mbinu mizuri ili maafa ya mafuriko yaishe, nyumba mbovumbovu zilizojengwa kiolela holela ziondolewe.

Wacheni kumfwata fwata raisi wetupenda amani na watu. Wacheni kumpakazia muheshima....Wewe fanya kazi. Hapa kazi tu.

The President’s authoritarian measures are meeting increasing resistance, but he is set on his course and has made ugly threats against dissenters

Half-way through his first term, President John Pombe Magufuli is under pressure. Facing a mainstream political threat from the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), civil society groups, church leaders and now, young people on social media, he appears to be relishing the confrontations. The state also feels threatened by armed groups killing government and party officials in the Pwani Region.

The official response to both challenges has been of a ruthlessness rarely seen before, which has been attracting widespread and alarmed condemnations from all sides.

Source: African Confidential

Enemies without and within
20180416_184852.jpg
 
Matako wew maendeo gan anayo leta zaidi ya wizi wa maligafi zetu
Anajenga flyover, anajenga airport, anajenga miundombinu, amedhibiti wizi wa mali na fedha za umma, shule bure, serikali sasa imekuwa na uwezo kifedha, mahakama zinafanya kazi kwa haki kushugulikia watu kama nyiye, wakubwa hamna kusafiri kiholela nje ya nchi, wizi umepungua, madini yetu tunayadhibiti na wananchi wanapata huduma nzuri.
 
Afu mwisho wa siku katupiga 1.5 trilion. Ameweka historia ya kiongozi mkuu wa nchi ndani ya CCM kuiba fedha nyingi ndani mwaka mmoja.

Nitaandamana 26/4
 
Hili gazeti limuache raisi wetu JPM kama alivyo. Anafanya kazi nzuri kuweka nchi sawa maana ilioza kabisa. Miguu ukioza unakatwa ili mtu aokoe maisha kuto kuoza mwili mzima. Muheshima raisi wetu JPM anachokifanya ni kuondoa uoza ili watanzania tuwe na viwanda, shule bure, miundo mbinu mizuri ili maafa ya mafuriko yaishe, nyumba mbovumbovu zilizojengwa kiolela holela ziondolewe.

Wacheni kumfwata fwata raisi wetupenda amani na watu. Wacheni kumpakazia muheshima....Wewe fanya kazi. Hapa kazi tu.View attachment 746832
Ushawahi kujiuliza kwamba inawezekana halimdhalilishi, linasema ukweli tu, ila wewe una tongotongo nyingi sana kwenye macho ya mawazo yako huwezi kutambua hilo?
 
Yeye siyo mtume wala nabii. Yeye ni raisi mtukufu na hupaswi kumsema hamasivyo mtakiona cha mtemakuni.
Aliyetukuka ni Mwenyezi Mungu Peke yake,na ni mwingi wa rehma, mwenye kuneemesha nehma ndogo ndogo na nehma kubwa.
Amna mwanadam yeyote katka ardhi akawa mtukufu rekebisha kauli yako.
 
Huyu Rais ni binadamu vyovyote vile watu watakavomfikiria inawezekana kwakua mapungufu ni lazima. Hawezi kuwa sawa kwa kila kitu na kwa watu wote.

Pengine ni changamoto zake anazo Rais wewe tu hujaziona wenzako wameziona.
 
Back
Top Bottom