Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,023
40,693
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking
2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking
3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking
4.) SIERRA LEONE - has seen conflicts relating to diamond resources- French speaking
5.) IVORY COAST - Recently went through civil war involving laurant Bagbo - French speaking
6.) RWANDA - Has seen its share of violence, allegedly funds M23,gone through genocide - French speaking
7.) BURUNDI - Has seen its share of violence - French speaking
8.) CONGO BRAZAVILLE - Has seen its share of violence - French speaking

Take a look at the non-french speakers.. (After independence)

1.) TANZANIA - Peaceful - Swahili speaking
2.) KENYA - Peaceful - English/Swahili speaking
3.) SOUTH AFRICA - Peaceful -English speaking
4.) NAMIBIA - peaceful - English speaking
5.) ZAMBIA - Peaceful - English speaking
6.) MALAWI - Peaceful - English speaking
7.) MOZAMBIQUE - Peaceful - portuguese speaking
8.) BOTSWANA - peaceful -English speaking

==========================

9.) Hivi Burkinafaso nayo ni french speaking?
10.) Hivi Niger nayo ni French speaking?

11.) Hivi Gabon nayo ni French speaking

1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking
2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking
3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking
4.) SIERRA LEONE - has seen conflicts relating to diamond resources- French speaking
5.) IVORY COAST - Recently went through civil war involving laurant Bagbo - French speaking
6.) RWANDA - Has seen its share of violence, allegedly funds M23,gone through genocide - French speaking
7.) BURUNDI - Has seen its share of violence - French speaking
8.) CONGO BRAZAVILLE - Has seen its share of violence - French speaking

Take a look at the non-french speakers.. (After independence)

1.) TANZANIA - Peaceful - Swahili speaking
2.) KENYA - Peaceful - English/Swahili speaking
3.) SOUTH AFRICA - Peaceful -English speaking
4.) NAMIBIA - peaceful - English speaking
5.) ZAMBIA - Peaceful - English speaking
6.) MALAWI - Peaceful - English speaking
7.) MOZAMBIQUE - Peaceful - portuguese speaking
8.) BOTSWANA - peaceful -English speaking

Kuna documentary inaitwa " french african connection" sikumbuki niliiona wapi ila ,ni kati ya bbc au aljazeera.
Usemacho kina ukweli fulani ,
 
Na katika migogoro yao hiyo kwa kiasi kikubwa Ufaransa inahusika sana katika kuchochea migogoro hiyo. Hata mimi hili swali huwa najiuliza sana bila kupata majibu ya moja kwa moja na kwa Africa nafikiri nchi nyingi zaidi ni french speakers (Francophones).
 
French-speaking countries sio french-colonies wadau.. Burundi, Rwanda speak french despite being ruled by the Belgium

Kwa swali lako jibu ni moja tu hizo nchi nyingi hapo masheikh ni wengi ndio maana vita haziishi huko. Unajua hawa watu hata wakiwa wao pekee nchi nzima kama Somalia bado hawaelewanu

Kama ni French speaking ongeza na TUNISIA
 
French-speaking countries sio french-colonies wadau.. Burundi, Rwanda speak french despite being ruled by the Belgium

Kwa swali lako jibu ni moja tu hizo nchi nyingi hapo masheikh ni wengi ndio maana vita haziishi huko. Unajua hawa watu hata wakiwa wao pekee nchi nzima kama Somalia bado hawaelewanu

mchungu lakin n ukwel... Bufa
 
Last edited by a moderator:
French-speaking countries sio french-colonies wadau.. Burundi, Rwanda speak french despite being ruled by the Belgium

Kwa swali lako jibu ni moja tu hizo nchi nyingi hapo masheikh ni wengi ndio maana vita haziishi huko. Unajua hawa watu hata wakiwa wao pekee nchi nzima kama Somalia bado hawaelewanu

mmh.., naogopa kukubali moja kwa moja. labda chambua evidence kwa mifano hai ya nyongeza..
 
Mtoa mada alimaanisha FRENCH-SPEAKING au FRENCH COLONIES?
​Watanzania ni wagumu sana kuelewa hivi hii ni nini??mtoa mada kasema french -speaking watu mnageuza kuwa french colony !!!halafu mkifeli interviews mnasema wakenya wanapendelewa kwa vile wanaongea kiingereza vizuri..wakati hii mada ni ya kiswahili lakini tayari watu weshanoa duuh kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom