theohphilly
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 332
- 368
Nadhani Staili waliyo itumia ufaransa kutawala makoloni yao.ndo tatizo..pia Ufaransa haikuwa na Experience sana Ukifananisha na Britain..haikuwandaa .wafrica kuwa independent
Chukulia mfano waCongo Ufaransa inachukulia kama Heven flan ivkwel ila unajuwa nini mkuu hyo ni sawa na hapa kwa JIWE kila mtu aliopo kijijin anataka aje mjin DARESALAM sasa nawao france ndio mjini DARESALAM Yao
nikweli kabixa mi naona saiv ni kama kasumbaChukulia mfano waCongo Ufaransa inachukulia kama Heven flan iv
Assimilation policy ndio jibu nililopewa mwaka 2013 wakati naanzisha huu uzi, ni kwamba hata Comoro kuna kisiwa kimeshakuwa assimilated na ufaransa, na wanatumia euro na kuongea kifaransa, kiufupi wanajiona wafaransa, basi kila mtu anataka aende huko hata kucheza soka tu.Afu cjui kwa nini huwa wana ndoto ya kuishi french tu.kila raiya ana dream ya kwenda Ufaransa
Na hii ni baada ya kuziharibu nchi zao break ya kwanza ni kwa master wao french au belgiumAfu cjui kwa nini huwa wana ndoto ya kuishi french tu.kila raiya ana dream ya kwenda Ufaransa
Wabelgij pia lugha yao n KifaransaRwanda,Burundi na Congo zilitawaliwa na waBelgiji.Any way mkoloni aliwawekea msingi wa kuwafanya wachukiane wao kwa wao ili awatawale vizuri,mfano tutsi na hutu
NI moja ya lugha zao. Wabelge wanaongea french, flamandWabelgij pia lugha yao n Kifaransa
Na ni ufaransa ndio huzi-destabilize hizo nchi kwa maslahi yake binafsiMpaka leo angalia hiyo jumuiya ya 'Francophone' wanachama wengi wana migogoro ya ndani ya kisiasa na kijeshi.
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking
2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking
3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking
4.) SIERRA LEONE - has seen conflicts relating to diamond resources- French speaking
5.) IVORY COAST - Recently went through civil war involving laurant Bagbo - French speaking
6.) RWANDA - Has seen its share of violence, allegedly funds M23,gone through genocide - French speaking
7.) BURUNDI - Has seen its share of violence - French speaking
8.) CONGO BRAZAVILLE - Has seen its share of violence - French speaking
Take a look at the non-french speakers.. (After independence)
1.) TANZANIA - Peaceful - Swahili speaking
2.) KENYA - Peaceful - English/Swahili speaking
3.) SOUTH AFRICA - Peaceful -English speaking
4.) NAMIBIA - peaceful - English speaking
5.) ZAMBIA - Peaceful - English speaking
6.) MALAWI - Peaceful - English speaking
7.) MOZAMBIQUE - Peaceful - portuguese speaking
8.) BOTSWANA - peaceful -English speaking
Sierra Leone ilikuwa colony la Britain na sio France na walipewa uhuru 1961. Ni kweli francophone africa zinasumbuliwa na machafuko ya mara kwa mara.
Belgium ndo Worse kabisa .kila sehemu aliyogusa ni matatizo hadi leoNa hii ni baada ya kuziharibu nchi zao break ya kwanza ni kwa master wao french au belgium
Iz ulizo zi list hapa kuna ka problem ka Udini ..1. Gambia
2. Somalia
3. South Sudan
4. Nigeria (iro Boko Haram)
Nchi zote hizo ni Francophone?
Kuna haja ya kuwa na Commonweath & Franceophone naona kama utumwa na kudhalilishwaMpaka leo angalia hiyo jumuiya ya 'Francophone' wanachama wengi wana migogoro ya ndani ya kisiasa na kijeshi.
Hizo jumuiya zilianzishwa kama njia za kufungua mwanzo mpya wa uhusiano kati ya wakoloni na makoloni yao ya zamani ikiwa ni pamoja na ushirikiano kwenye nyanja kama elimu, biashara, tafiti japo pia zinaonekana kama muendelezo wa Ukoloni kwa njia mpya kwani baadhi ya makoloni ya zamani (Sasa nchi huru) bado ni tegemezi kwa watawala wao wa zamani.Iv
Kuna haja ya kuwa na Commonweath & Franceophone naona kama utumwa na kudhalilishwa
Wabelgiji wanaongea lugha gani?Rwanda,Burundi na Congo zilitawaliwa na waBelgiji.Any way mkoloni aliwawekea msingi wa kuwafanya wachukiane wao kwa wao ili awatawale vizuri,mfano tutsi na hutu