Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

..Na Mbowe anatuhumiwa kutoroka nchini kabla hajakamatwa.

..Je, huyo sio mshtakiwa anayetakiwa kufungwa pingu wakati wote?
Hadhi ya Mbowe mbele ya umma ya Watanzania siyo sawa na ya hao washitakiwa wengine. Mbowe ni important political public figure. Dunuia nzima wanafuatilia hii kesi, kwa hiyo usishangae hawajamfunga pingu kama Washitakiwa wenzake.

Hata huko USA unapoishi kila siku watu kama wewe hamchoki kupinga kwanini Watuhumiwa Wazungu wanapewa masharti nafuu ya bail bond hata kama wamefanya mauaji na baadaye wanaishia kuachiwa huru na mahakama.
 
Mbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
That T shirt costs an arms and a leg
 
Mbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
That T shirt costs an arms and a leg
 
1. Mbowe ni hatari zaidi kwasababu ndiye instigator, planner, na financier wa ugaidi inaosemekana walitaka kuufanya.

2. Sasa kama Mbowe sio gaidi, basi hata hao wengine sio magaida. I dont see how Mbowe anaweza kupatikana hana hatia, halafu hao wengine wakakutwa wana hatia.

NB:

..Kwa wanaopenda HAKI inakera kuona washtakiwa ktk kesi moja wanatendewa tofauti.
Unapenda haki huku umependa kesi ya kubambikia. Maajabu ya kishetani
 
Mandela aliwahisema kiongozi anayetenda kulingana na kiongozi aliyepo na kisha anabadilika ajapo mwingine hafai kuongoza... Maana yake hana msimamo wala anachoamini.

Ukitazama Tanzania katia hii miaka sita unawapimaje viongozi.

Acha tuendelee kufuatilia hii kesi ya ugaidi...

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
..angalieni video hapo chini?

..kwanini Mbowe hafungwi pingu?...
Video iko wapi mkuu 'Joka'?

Kuna sababu zilikwishaelezwa kwa nini 'Adamoo' huvalishwa pingu. Sijawahi ona washtakiwa wengine mbali ya 'Adamoo' wakiwa kwenye pingu. Kama video uliyosema umeiona ingeonesha hapa, huenda ingeondoa utata huo.
 
Mbowe sio komandoo au John Sina pingu za nini

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

..Polisi wamewahi kusema Mbowe alikuwa ametoroka nchini kabla hajakamatwa?

Na Mbowe anatuhumiwa kuwa-rectruit watuhumiwa wengine na kuwafadhili.

Je, mshtakiwa wa aina hiyo siyo mtu hatari?

Ukomandoo kwangu sio hoja. Nakumbuka kumuona Shekhe Ponda amefungwa pingu mahakamani wakati inajulikana sio komandoo.

Cc Kalamu1
 
..ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.

..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu...
Hebu tujaribu mfano wa vita.

Askari mateka na jemadari wao, hufanziwa sawasawa?

Kuna aina fulani ya 'protokali hufuatwa.

CCM wanawachukulia CHADEMA kama wanapambana nao kivita. Wanategemea kwamba endapo siku moja CHADEMA akishinda vita hiyo, basi asiwasulubu viongozi wa CCM kwa kuwavalisha pingu!
 
Mbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
Ziko bei gani hizo siku hizi?
 
..tena alitakiwa afungwe mpaka pingu za kwenye miguu.

..it doesnt make sense wafuasi wa ugaidi wanafikishwa mahakamani wamefungwa pingu huku kiongozi wao hana pingu.
Matukio yaliyothibitisha ugaidi wake sasa ni yapi? Ama kina adamoo kukutwa na bastola yenye maganda ya risasi tofauti na bastola enyewe🤣🤣🤣🤣🤣 na risasi moja! Ama ile pesa yenye ilitumwa kwa tgo pesa! Eti kwamba Mbowe ni Osama bin laden ihiiiiii bagosha
 
Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani
Nikuombe umtake radhi kwanza JokaKuu kwa kutukana, humjui vizuri na pia hujaelewa dhima ya uzi huu. Hii aina ya uandishi anapenda sana kuitumia Mzee Mwanakijiji inaitwa 'satire'. 'in a satirical way'
 
Wewe mataga rudi kwenye ubikra siasa hazikufai.
Ni kichekesho kumuita JokaKuu mataga..
Wee Mzee you must be out of your damn mind. You seem outraged, too emotional and react like your empty-headed, Jesus worshiping granny. Get yourself together dude.
Mkuu JokaKuu aina ya uandishi kwenye huu uzi vijana hawaielewi kabisa, shida sana hii..
 
Back
Top Bottom