Mbowe ni mwanasiasa makini sana.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Cdm wanapenda kujilinganisha na ccm, wamesahau kuwa yabidi wawe tofauti ili kuleta matumaini kwa walioichoka ccm.Habari wadau,
Baada ya kumsikia Waitara na Wabunge wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu Chadema kumtupia lawama mwenyekiti Mbowe na ufisadi na kumtuhumu kukiuka katiba ya chama cha hadema na kutumia madaraka vibaya, nashangaa kuona vijana wapambanaji wa Chadema na baadhi ya viongozi wamekaa kimia bila kusema chochote.
Pia, sijui kwanini makamanda hawahoji tuhuma za mwenyekit wao au yale maneno ya sumu haijaribishwi kwa kuonjwa ni kweli?
Au makamanda wanajua hela hua zinaenda wapi so hayo yanayo ongelewa yanaonekana ni porojo tu?
Na kwanini viongozi na Wabunge wanaojitoa Chadema moja kwa moja wanaitwa mamluki au kuvishwa lawama ya usaliti bila kuhoji kwanini wamejitoa ndani ya chama na sio kuanza kusema wamenunuliwa sababu kama kweli Chadema wana viongozi wanaonunulika basi hawastahili kuwa viongozi wa nchi sababu wanaweza kununulika kwa bei Rais na kuuza nchi kwa mabeberu.
Pia, hoja inayotumika kuficha ukwel ni hoja dhaifu sana huwezi sema kama walikua wananyanyaswa kwanini wasiseme wakati bado wapo Chadema. Wanaosema ivyo wanakosa points tetezi sababu wote wamesema kujitoa ilihali bado wako Chadema ndiyo maana waligoma kutokwenda bungeni so walikua bado wanachama na Wabunge lakini wakagoma kwenda bungeni.
Hii inaonesha kabisa kuchoka kuendelea kutumikia sababu huwezi sema wametoka Chadema na kwenda kungine sababu ya madaraka, sio kweli maana wanahama wakiwa wabunge na wanajua kabisa kua wakikosa udhamin wa vyama vyao wanakua sio Wabunge tena, hivyo wameamua kusema tu ukweli.
Pia, baada ya Bunge kuvunjwa nina imani Wabunge wengi wa Chadema watajiengua. Time will tell
Makamanda njooni mtufafanulie hoja.
Wao wanaona ni sahihi kutenda kama yale tunayowalaumu nayo ccm.
Chadema ni watu makini, ccm na dola yao inawatoa jasho.
Sababu Mbowe na CHADEMA ni tishio kwa CCM. CCM haiwezi kuhangaika na vyama visivyo tishio aka CCM B kama UDP, TLP n.kKwasababu Mbowe ni kikwazo kikubwa Sana kwa CCM
Ndugai anaijua shule waliosoma nae pamoja. Mpigie simu tafadhali atakusaidiaDJ ni illiterate hana kitu kichwani ni zero brain kafeli exams zote hakuna ajuae kasoma nini na shule gani