Kwanini "football pundits". Wanapenda kuwaita wachezaji weusi kama "UNPREDICTABLE"!...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini "football pundits". Wanapenda kuwaita wachezaji weusi kama "UNPREDICTABLE"!......

Discussion in 'Sports' started by jebs2002, Oct 18, 2011.

 1. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,469
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160

  Utawasikia wakiwataja wachezaji weusi, kama Wanchope, Andrew Cole,
  Luís Boa-Morte, Kanu, Yakubu, Odemwingie, Darius Vassel, Darren Bent, Jason Robert na wa sasa kama Demba Ba, Balotelli, Gyan, Kalou n.k.

  Kwamba wako "UNPREDICTABLE"! Ni neno sijalowahi kulisikia wakiwasema wachezaji weupe, hata kama wanacheza ovyo!
  Je hili neno waache kulitumia? Maana linatumika kuwaelezea wachezaji weusi tu! Binafsi naona limekaa kiubaguzi sana!

  Mnasemaje wadau?
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  labda wanasema in a good way!
   
 3. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,469
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Labda mkuu, ila hili neno limenichosha kabisa boss....
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ...ngoja nifatilie kwanza
   
Loading...