ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Tatizo la foleni dar halitapungua kutokana na tafiti ambazo zinatoa summary hii.
1. Kila mwezi takribani magari 600 hununuliwa na wakazi wa dar es salaam kutoka yard mbalimbali, hii huongeza foleni kila mwezi.
2. Takribani asilimia sabini 70% ya magari yote yaliyoko zanzibar na bara yapo ktk mkoa wa dar es salaam, kwa maana mikoa 29 pamoja na zanzibar kuna asilimia 30 tu ya magari yote tanzania. Hii ni lazima ilete foleni
3. Dar es salaam ni kati ya majiji 3 madogo duniani yenye idadi kubwa ya watu ukilinganisha na ukubwa wa ardhi yake. Dar ni over populated city
4. Mradi wa strabag utakapoanza utaongeza kiwango cha foleni kwa 2% ya foleni ya sasa. Hii ni Kutokana na priority itayopewa mabasi ya mradi huo kutembea barabarani bila buguza.