Kwanini foleni dar haitapungungua kamwe

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,045
2,000
Tatizo la foleni dar halitapungua kutokana na tafiti ambazo zinatoa summary hii.

1. Kila mwezi takribani magari 600 hununuliwa na wakazi wa dar es salaam kutoka yard mbalimbali, hii huongeza foleni kila mwezi.

2. Takribani asilimia sabini 70% ya magari yote yaliyoko zanzibar na bara yapo ktk mkoa wa dar es salaam, kwa maana mikoa 29 pamoja na zanzibar kuna asilimia 30 tu ya magari yote tanzania. Hii ni lazima ilete foleni

3. Dar es salaam ni kati ya majiji 3 madogo duniani yenye idadi kubwa ya watu ukilinganisha na ukubwa wa ardhi yake. Dar ni over populated city

4. Mradi wa strabag utakapoanza utaongeza kiwango cha foleni kwa 2% ya foleni ya sasa. Hii ni Kutokana na priority itayopewa mabasi ya mradi huo kutembea barabarani bila buguza.
 
mti_mkavu

Senior Member
Dec 23, 2008
116
195
1. Hamna reliable public transport. Kungekuwa na usafiri unajua kila baada ya muda fulani kuna treni/basi/metro nk.. basi kila mtu angeacha gari lake nyumbani au kituo cha karibu na huo usafiri.

2. Majibu ya kisiasa na siyo ya kitaalamu. Kujenga barabara za njia mbili mpaka leo

3. Manispaa imelala na barabara zake mbovu pamoja kukusanya ushuru.

4. Viongozi wengi wenye maamuzi hawajui gharama ya foleni maana wanawekewa mafuta bure. Wao haiwaumi. kwa hiyo hata kwenye kujadili siyo issue ya kipao mbele kwao

Tatizo la foleni dar halitapungua kutokana na tafiti ambazo zinatoa summary hii.

1. Kila mwezi takribani magari 600 hununuliwa na wakazi wa dar es salaam kutoka yard mbalimbali, hii huongeza foleni kila mwezi.

2. Takribani asilimia sabini 70% ya magari yote yaliyoko zanzibar na bara yapo ktk mkoa wa dar es salaam, kwa maana mikoa 29 pamoja na zanzibar kuna asilimia 30 tu ya magari yote tanzania. Hii ni lazima ilete foleni

3. Dar es salaam ni kati ya majiji 3 madogo duniani yenye idadi kubwa ya watu ukilinganisha na ukubwa wa ardhi yake. Dar ni over populated city

4. Mradi wa strabag utakapoanza utaongeza kiwango cha foleni kwa 2% ya foleni ya sasa. Hii ni Kutokana na priority itayopewa mabasi ya mradi huo kutembea barabarani bila buguza.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,577

Labda niseme kuwa foleni ya Dar haisababishwi na wingi wa magari kama wengi wanavyofikiria. Kwa ambaye amewahi kufika miji mikubwa ya Ulaya na Marekani atanielewa kirahisi. Foleni ya Dar inasababishwa na miundo mbinu mibovu na uendeshaji mbovu. Mwisho kama ulivyosema ... ni kweli kabisa. Huo mradi hautapunguza foleni kwani haujalenga kutatua tatizo la foleni!
 
mititi

Member
May 16, 2013
51
70

Tatizo la jiji la Dar es Salaam tiba yake pekee ni kutanua mji kwa kuweka ofisi za Umma maeneo mengine yaliyo pembezoni mwa mji.Hata ukiweka barabara za juu na chini,mabasi yaendayo kasi kwa hali tuliyo nayo ambayo kila kitu ni kariakoo na Posta,hapo hakuna ufumbuzi.
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,469
2,000
Labda niseme kuwa foleni ya Dar haisababishwi na wingi wa magari kama wengi wanavyofikiria. Kwa ambaye amewahi kufika miji mikubwa ya Ulaya na Marekani atanielewa kirahisi. Foleni ya Dar inasababishwa na miundo mbinu mibovu na uendeshaji mbovu. Mwisho kama ulivyosema ... ni kweli kabisa. Huo mradi hautapunguza foleni kwani haujalenga kutatua tatizo la foleni!

Hata mimi naamini BRT haujajengwa kupunguza foleni. Nafikiri mradi unajaribu kutoa kaufumbuzi ka-reliable source of public Transport, na siyo reduction of traffic jam/congestion.
 
lucky sabasaba

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,659
1,225

Ni kweli kabisa Dar haina magari mengi kama inavyoonekana,tatizo hakuna miundo mbinu pili mji wote umejengwa sehemu moja yaani asubuhi/jioni magari mengi yanaelekea sehemu moja POSTA hapo kuna shule,vyuo,maduka,benki,ofisi,Ikulu,Wizara nk..hilo ndio kosa kubwa.
 
ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,045
2,000
Pia lazima tukubali dar magari ni mengi. 70% of all tanzanian cars are found in dar es salaam. Mji utanuliwe. Natumia masaa 5 kwa siku kwenda na kurudi kazini, hii ni wastage of resource. Time is resource in engineering dictionary
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Tatizo la foleni dar halitapungua kutokana na tafiti ambazo zinatoa summary hii.

1. Kila mwezi takribani magari 600 hununuliwa na wakazi wa dar es salaam kutoka yard mbalimbali, hii huongeza foleni kila mwezi.

2. Takribani asilimia sabini 70% ya magari yote yaliyoko zanzibar na bara yapo ktk mkoa wa dar es salaam, kwa maana mikoa 29 pamoja na zanzibar kuna asilimia 30 tu ya magari yote tanzania. Hii ni lazima ilete foleni

3. Dar es salaam ni kati ya majiji 3 madogo duniani yenye idadi kubwa ya watu ukilinganisha na ukubwa wa ardhi yake. Dar ni over populated city

4. Mradi wa strabag utakapoanza utaongeza kiwango cha foleni kwa 2% ya foleni ya sasa. Hii ni Kutokana na priority itayopewa mabasi ya mradi huo kutembea barabarani bila buguza.

Tiba bora ya kuondokana na foleni jijini Dsm ni Serikari kuhamia Dodoma kumbuka Nyerere alijua ipo siku jiji litafurika Magari ya Mabinti magari ya vimada na magari Yao binafsi sambamba na magari ya serikari ambayo ni mengi sana na kusababisha foleni Kuwa janga la Kitaifa .Ni wakati sasa wa kuhamia Dodoma Kama Malawi Nigeria na south Africa wao waliweza kuhamia miji mipiya ! Sisi Tz tatizo ni nini ?tunawaomba serikari wahamie Dodoma ili walinisulu jiji na foleni na hizo pesa za kulipa watu fidia kupanua njia zitumike kuijenga Dodoma
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Pia lazima tukubali dar magari ni mengi. 70% of all tanzanian cars are found in dar es salaam. Mji utanuliwe. Natumia masaa 5 kwa siku kwenda na kurudi kazini, hii ni wastage of resource. Time is resource in engineering dictionary

Hii kero ya foleni itakwisha siku Serikari ikihamia Dodoma na magari yake yote na magari Yao binafsi
 
SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,579
2,000
Tatizo la foleni dar halitapungua kutokana na tafiti ambazo zinatoa summary hii.

1. Kila mwezi takribani magari 600 hununuliwa na wakazi wa dar es salaam kutoka yard mbalimbali, hii huongeza foleni kila mwezi.

2. Takribani asilimia sabini 70% ya magari yote yaliyoko zanzibar na bara yapo ktk mkoa wa dar es salaam, kwa maana mikoa 29 pamoja na zanzibar kuna asilimia 30 tu ya magari yote tanzania. Hii ni lazima ilete foleni

3. Dar es salaam ni kati ya majiji 3 madogo duniani yenye idadi kubwa ya watu ukilinganisha na ukubwa wa ardhi yake. Dar ni over populated city

4. Mradi wa strabag utakapoanza utaongeza kiwango cha foleni kwa 2% ya foleni ya sasa. Hii ni Kutokana na priority itayopewa mabasi ya mradi huo kutembea barabarani bila buguza.
Umesahau pia kuwa madereva wote hapo mjini hamfuati sheria za barabarani. Kila mtu ana haraka. Kila mtu anataka kutanua, kuchomekea nk. Hili ndio tatizo kubwa kuliko yote na hata zijengwe hizo flyovers ama super highways itakuwa ni kazi ya bure kama hamtaanza kufuata sheria inavyotakiwa
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Hata mimi naamini BRT haujajengwa kupunguza foleni. Nafikiri mradi unajaribu kutoa kaufumbuzi ka-reliable source of public Transport, na siyo reduction of traffic jam/congestion.

Foleni zitakwisha siku Serikari ikihamia Dodoma na magari yake yote na magari Yao binafsi
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Siku ikitokea Muujiza Serikari wakahamia Dodoma siku hiyo hiyo Foleni itakwisha Dsm itabaki Kuwa historia tu
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Umesahau pia kuwa madereva wote hapo mjini hamfuati sheria za barabarani. Kila mtu ana haraka. Kila mtu anataka kutanua, kuchomekea nk. Hili ndio tatizo kubwa kuliko yote na hata zijengwe hizo flyovers ama super highways itakuwa ni kazi ya bure kama hamtaanza kufuata sheria inavyotakiwa

Vimada na wale wenye magari ya mikopo wana fujo sana huko barabarani hawafuati sheria wanachojua ni kuwahi tu mapema bila kujali madereva wengine ingekuwa vyema Hawa wakopa magari wangekopa Nyumba kuliko kukopa Magari na kuleta janga la Foleni
 
funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,475
2,000
Tunawashauri akina Dada badala ya kukopa Magari sasa wakope Nyumba huku wakisubili serikari ihamie Dodoma kisha wakope magari baadae
 
Mfikilwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
380
225
foleni zitapungua kama leseni zikitolewa upya, watu wakae darasani wasome sheria za barabarani, wafunzwe kuendesha, wafanye mitihani yote miwili bila ongo na wakifaulu ndiyo wapewe leseni, foleni zinaweza pungua kwa asilimia ata 40
 
Eyoma

Senior Member
Sep 9, 2011
166
0
wizara zihamie dodoma,mawaziri wakakae dodoma foleni itaisha na itakuwa historia.believe it
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom