Kwanini Fatma Karume siku hizi "kajitenga" na CHADEMA

Nadhani enzi awamu yatano ilikua nilazima wote waonekane kwani kilio Chao ilikua haki ,democras and etc ...vilevile na sisi raia tubadilike wanachoka sometimes
 
Fatma Katume ana vinasaba na ACT, na kiongozi wake wa chama anajulikana msimamo wake kuhusu CCM ya sasa, alishasema hatapinga kama wakati wa Magufuli, naona huyo mtoto wa Karume ameamua kutii maoni ya bosi wake wa chama.
 
kazi za mawakili zimeanza tena kurudi....swaiba "mwezi wa kwanza" yuko pale Nishati....awamu ya tano njaa ilikuwa kali kazi zilikata..
 
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?
Mzanzibari....na Sasa tunanatawaliwa na wanzanzibari....anafuruha sana
 
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?
Chadema siyo nyumba, watu wala majengo.
Chadema ni mawazo na hisia hai za watu. Kama unafikiria kumfunga wala kumuua Freeman mbowe utaua chadema basi wewe una akili ndogo kama magufuli
Chadema ni mawazo mbadala juu ya utawala wa kipumbavu chini ya ccm.
Umekaa ukawaza kwamba chadema ni fatuma karume?????
 
Ongeza hawa kwenye orodha yako.
1. Kigogo... Didier Abdallah Mlawa
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Mange Kimambi..

Wote waliohisi kutengwa na JPM kichaka chao kilikuwa Chadema
Kwahiyo tumeamua kuwa Kigogo ni Didier Mlawa au ndio inabidi tujie hivyo sasa tutafanyaje.

Hii nchi ina vijana wapuuzi na wa hovyo sana.
 
Ongeza hawa kwenye orodha yako.
1. Kigogo... Didier Abdallah Mlawa
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Mange Kimambi..

Wote waliohisi kutengwa na JPM kichaka chao kilikuwa Chadema
Chadema ni kama dampo kila taka inatupwa huko
 
Shangazi ana Ukanda na ukabila Sana. Alivyoingia madarakani Maza, Shangazi akabadilika ghafla. Ukisoma contents zake ukalinganisha na Maria utaona utofauti wa watu hawa. Kwa Sasa anang'ata na kupuliza.
 
Back
Top Bottom