Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #61
Jikite kwenye hoja acha ushamba
Kwa hoja ipi uliyoitoa hapo???
Nimesema chama siyo mtu au majengo! Ni itikadi waliopo chadema hawajamfuata mbowe wala mnyika. Kama mlivyodanganyana kwamba ukiwanunua wabunge na kuwapa uwazir umeua chadema. Waliopo pale wamefuata itikadi na mawazo mbadala dhidi ya ccm iliyoshindwa kuwapa wananchi umeme wala maji miaka 60 baada ya uhuru.