Kwanini Dunia inamchukulia Einstein kama mtu mwenye akili zaidi kuwahi kuishi duniani

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,129
2,000
Formula yake ya E=mc2 ndio iliplay part kubwa lakini yeye hakushiriki.
Pia aliionya Marekani endapo kama Wajerumani wangekuwa watu wa kwanza kugundua aina hiyo ya silaha kabla ya allied forces.

😲 E=mc2 ndio nini hiyo??!

Na E=mc² nayo ni nini??
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,129
2,000
Ni sahihi kabisa... Aliwapa idea wajeremani wakahisi haiwezekani wakamuona kichaa.. alipoenda marekani akapewa funds aanze utafiti Mara moja... Fasta akafanikisha mmarekani akadhibiti Nukes... Mjapan akajipendekeza.. akatandikwa nalo Dunia ikastaajabu.

Hii sio kweli kwamba Einstein aliwapa Wajerumani idea ya kutengeneza Atomic bomb.

Ujerumani ya MANAZI walikuwa adui wakubwa wa Waisraeli na ndio sababu hiyo iliyomfanya Einstein ahamie/akimbilie Marekani, kumbuka Yeye ni Muisraeli, ni yeye ndiye aliyemtanabahisha Rais Rosevolt kwamba Manazi wapo katika harakati za kuunda bomu la Atomic na kama wangalifanikiwa basi ingalikuwa ni hatari kwa usalama wa dunia jambo hilo ndilo likifanya Marekani nayo iingie katika mpango wa kuunda hilo Bomu, kimsingi Einstein alitoa msaada wa utengenezaji wa hilo Bomu kwa Marekani kwa siri.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,129
2,000
Hivi akili ni nini na mtu mwenye akili anapimwaje ?

Akili ni uwezo wa jumla wa utendaji kazi sawasawa wa ubongo wa wako.

Kuna tofauti kati ya mtu na mtu katika utendaji kazi wa ubongo na hivyo kuwa na viwango tofauti vya akili katika mambo maalum.
 
Ushindi victory

Senior Member
Dec 11, 2018
149
250
Kipindi kina Albert Einstein, Charles Darwin, Pythagoras, Galileo Galilei, Al Jabeer (Algebra), Vasco Da Gama, Dr Livingstone, Isaac Newton wapo bussy na kujitoa maisha yao kwa "KUFANYA UCHUNGUZI WA KISAYANSI/KIMAHESABU, KUICHUNGUZA NA KUIVUMBUA DUNIA/WANAADAMU/WANYAMA, sambamba na KUFANYA MAENDELEO YA KISAYANSI/TEKNOLOJIA (Evolution Of Man, Invention Of Science, Exploration Of The Earth)" kwa ujumla.

Ma babu zetu huku Africa walikua bussy "KUABUDU MIZIMU/MAPANGO/MISITU, KUOA WANAWAKE 3000 na KUTOA KAFARA WASICHANA MABIKIRA".

Halafu leo sisi kizazi hichi tuko bussy;

1) Kukesha Instagram na Face Book.

2) Kuwaita wenzetu mabeberu.

3) Na tunataka kushindana nao, silaha yetu kubwa ya mashindano ni kupiga domo na kulalamika tunaonewa.

#Dunia Simama Nishuke.

Sincerely hebu njoo huku uchangie mada.
mpumbav ww usrudie ten kuandika upuuz usiokuwa na uhakika nao,afrika ndyo babu, na baba wa technology zote kubwa hapa dunian ,mfano afya na tiba za upasuaj zilfanyika kipnd ambacho ao unaowasfia hawajajua hata kuvaa chupi,,these are the effects of mind slavery, wamewaaminisha hamkufanya lolote nawew kwa upuuzz wako na uvivu wa kusoma ukaamin, simple tu ustaharabu wote unaouona iv leo chanzo chake ni afrika, na napoongelea afrika sizungumzii kemet/Egypt pekee bal watu woote walioish afrika
FB_IMG_16228195019781695.jpg
 
Ushindi victory

Senior Member
Dec 11, 2018
149
250
Kipindi kina Albert Einstein, Charles Darwin, Pythagoras, Galileo Galilei, Al Jabeer (Algebra), Vasco Da Gama, Dr Livingstone, Isaac Newton wapo bussy na kujitoa maisha yao kwa "KUFANYA UCHUNGUZI WA KISAYANSI/KIMAHESABU, KUICHUNGUZA NA KUIVUMBUA DUNIA/WANAADAMU/WANYAMA, sambamba na KUFANYA MAENDELEO YA KISAYANSI/TEKNOLOJIA (Evolution Of Man, Invention Of Science, Exploration Of The Earth)" kwa ujumla.

Ma babu zetu huku Africa walikua bussy "KUABUDU MIZIMU/MAPANGO/MISITU, KUOA WANAWAKE 3000 na KUTOA KAFARA WASICHANA MABIKIRA".

Halafu leo sisi kizazi hichi tuko bussy;

1) Kukesha Instagram na Face Book.

2) Kuwaita wenzetu mabeberu.

3) Na tunataka kushindana nao, silaha yetu kubwa ya mashindano ni kupiga domo na kulalamika tunaonewa.

#Dunia Simama Nishuke.

Sincerely hebu njoo huku uchangie mada.
izo ndege mabwana zenu wanavyoangaika nazo kutengeneza kwa kushndana leo hii, sie tulisha dili bazo kitaambo sana
FB_IMG_16225382800713157.jpg
 
Ushindi victory

Senior Member
Dec 11, 2018
149
250
Kipindi kina Albert Einstein, Charles Darwin, Pythagoras, Galileo Galilei, Al Jabeer (Algebra), Vasco Da Gama, Dr Livingstone, Isaac Newton wapo bussy na kujitoa maisha yao kwa "KUFANYA UCHUNGUZI WA KISAYANSI/KIMAHESABU, KUICHUNGUZA NA KUIVUMBUA DUNIA/WANAADAMU/WANYAMA, sambamba na KUFANYA MAENDELEO YA KISAYANSI/TEKNOLOJIA (Evolution Of Man, Invention Of Science, Exploration Of The Earth)" kwa ujumla.

Ma babu zetu huku Africa walikua bussy "KUABUDU MIZIMU/MAPANGO/MISITU, KUOA WANAWAKE 3000 na KUTOA KAFARA WASICHANA MABIKIRA".

Halafu leo sisi kizazi hichi tuko bussy;

1) Kukesha Instagram na Face Book.

2) Kuwaita wenzetu mabeberu.

3) Na tunataka kushindana nao, silaha yetu kubwa ya mashindano ni kupiga domo na kulalamika tunaonewa.

#Dunia Simama Nishuke.

Sincerely hebu njoo huku uchangie mada.
elimu na technology ya uhandis wa majengo ambayo mpka leo hawaelew na hawatowai kuelewa ilitumikaje kujenga vtu kma hiv, alaf ww mvivu wa kufikil unataka kuaibisha mababu zetu
FB_IMG_16221100615717109.jpg
 
Ushindi victory

Senior Member
Dec 11, 2018
149
250
Kipindi kina Albert Einstein, Charles Darwin, Pythagoras, Galileo Galilei, Al Jabeer (Algebra), Vasco Da Gama, Dr Livingstone, Isaac Newton wapo bussy na kujitoa maisha yao kwa "KUFANYA UCHUNGUZI WA KISAYANSI/KIMAHESABU, KUICHUNGUZA NA KUIVUMBUA DUNIA/WANAADAMU/WANYAMA, sambamba na KUFANYA MAENDELEO YA KISAYANSI/TEKNOLOJIA (Evolution Of Man, Invention Of Science, Exploration Of The Earth)" kwa ujumla.

Ma babu zetu huku Africa walikua bussy "KUABUDU MIZIMU/MAPANGO/MISITU, KUOA WANAWAKE 3000 na KUTOA KAFARA WASICHANA MABIKIRA".

Halafu leo sisi kizazi hichi tuko bussy;

1) Kukesha Instagram na Face Book.

2) Kuwaita wenzetu mabeberu.

3) Na tunataka kushindana nao, silaha yetu kubwa ya mashindano ni kupiga domo na kulalamika tunaonewa.

#Dunia Simama Nishuke.

Sincerely hebu njoo huku uchangie mada.
ongea tena upuuzi uelezwe kuwa SAYANSI ASIRI YAKE NI AFRIKA
FB_IMG_16231839221800664.jpg
 
Ushindi victory

Senior Member
Dec 11, 2018
149
250
una akili au huna najua una akili ila akili yako ina uwezo kiasi gani( wa kufikiria mambo na kusolve matatizo) yaani Intelligence quotient (IQ) kuna njia nyingi za kupima IQ yako, mfano; IQ ya Einstein inakadiliwa kuwa 205-225, ipo ivi ikiwa IQ yako ni zaidi ya 160 wewe ni genius, ndio maana tunazungumzia watu wenye akili nyingi zaidi tukiwa na maana ya watu wenye akili zenye uwezo mkubwa zaidi, anyway, hakuna kipimo sahihi(kilicho accurate) katka kupima IQ ya mtu vinginevyo utamfahamu kwa yale anayoyafanyatabia zake, Mfahamu Christopher Michael Langani aliyezaliwa mwaka 1952 march 25, mmarekani mwenye IQ kubwa zaidi duniani! , najua una IQ (average) nenda play store download IQ test app ujatibu though hutapata uhakika wa IQ yako lakini utapata angalau concept of who you are. Thnx
huu upumbv nan anawafundisha??? hiv akil inapimika?? can you measure something u never seen?, what's the nonsense talking about?? ..akili mnaijua ama mabwana zenu walivyo idefine nanyie kwa uvivu mkapigilia msumar hapo hapo??,,Akil ni nn? akili ni uwezo wa kutambua jema na baya kwa wakat mahalum, akili ni uwezo na utendaj kazi wa ubongo ktk mising inayohitajika, mfano kumbukumbu,utambuz wa lugha(mawasiliano) upembuzi wa talanta ya muhusika ama kiumbe,,napoongelea utambuzi wa talanta nazungumzia kijipengele kiduuuchuu cha sehem ya akil ambacho ndcho wazungu wanalazmsha kuita ndyo kaz kuu ya akil (IQ) utambuzi huu hujumuisha kuushughulisha mwili na ubongo ku concentrate kweny talanta ama kipaj cha kiumbe huyu ili kukinowa icho kipawa kwa kuvumbua&kuunda kitu kilichotokana na concentration ya ubongo ktk talanta hiyo...kumbukumbu sio kigezo kikuu cha akil, bal ni part ya akili,,kuna aina nyng za talanta ambazo znaingia ndan ya akil ambaz nikama uimbaji,uchongaji,uchoraji,kumbukumbu(kukakalili), kipaji cha kudadavua mambo na mahesabu, kuona maono na kutafsiri future ya jambo kabla halijaja., hayo yote ni aina za talanta ambazo kati ya hizo uyo mzungu weny alkuwa nayo moja, sasa huwez muita uyo anaakili sabbu alitumia sehem ya akil yake(talanta) kufanya alichopaswa kufanya, hivyo huwez sema kamzid fundi ujenz hiv leo anaejenga majengo hapa bongo ama msanii wa nyimbo hapa bongo sabbu wote wana akil na wote wametumua sehemu za akili zao kufanya lile linawapasa kufanua,,hakuna mwanadam mweny akil kubwa kumzd mwengine bali,tunatofautiana ktk hali ya uzngativu na matumiz ya talanta zetu that's whay wengine hunekana wanafanya maajabu, uku wengine wakifanya madudu,,ELIMU ILIYOTOKA NJE YA BOX NDYO TUNAYOIHITAJ HAPA BONGO, NA SIO HIZO COLONIAL EDUCATION ZINAZOWAFANYA WAAFRIKA MUJIONE INFERIOR MBELE YA RACES ZINGINE,,,AS AFRICAN TULISHA FANYA MAMBO MAKUBWA NA YAKUTISHA, NI VILE WATU HAMTAK KUJISHUHULISHA KUYAJUA MKO BIZE KUKALILI NINI MZUNGU KASEMA , NA SIO NINI ASIRI ILISEMA,,MARK THIS "colonial education will provide to you the enough to understand the enough, that whitemen target you enough education, not to the enough level you need to understand
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
407
500
Ila huyo mwamba Einstein nasikia si ndo yeye aliyetengeneza nyuklia boom la hapo Hiroshima Nagasaki to make the end of ww2 1945? Au nimesikia vibaya
alitoa proposal baada ya kuhisi wanasanyansi wakijeruman wangeweza kutengeneza kabla ya Americans ambapo wanasanyansi wakiyaudi walikaribishwa
 
I just ask

Member
Nov 12, 2020
14
45
Duniani hakuna Mtu mwenye akili zaidi kuliko wengine kwa sababu kila Mtu anaweza kuwa Genius kwenye eneo lake.

- Kuna Magenius kwa upande wa Shule ambao wengi ndiyo wanaojulikana ingawa ujinias wao ni kwa eneo hilo tu. Hapa ndiyo utawapata kina Einstein na wengineo. Hivyo ukiwapima uwezo wao wa akili itabidi uwapime kwa eneo hilo tu huwezi kuwapima eneo jingine kwani ukiwatoa hapo kwenye Shule sehemu nyengine wataonekana mbulula tu.

- Kuna Magenius wa kutengeneza maisha, hapa utawapata kina Bozes, Bill Gates, Dangotte, Zuckerberg, Jac Ma, na hata hawa kina Dewj na Bakhressa. Hawa ni Watu wenye akili zaidi (Geniuses) katika eneo hili kwani ukiwatoa hapo basi kweningine ni mbulula tu.

- Kuna Mtu kama Lionel Messi ni Genius na mwenye akili nyingi zaidi kwa eneo la Mpira lakini nje ya Mpira ni Bashite tu.

- Hata mimi ukija kwenye eneo la kukung'uta Mademu wenye Mitako Mikubwa aka Tako Kifaru basi ni Genius mkubwa na nawagaragaza hao wote kina Einstein, Bozes, Dangotte na Messi kwa kuwa nina akili nyingi kuliko hao kwenye eneo hilo.

- Mifano ya kuhusu kuwa na akili ipo mengi tu na yote inatofautisha Mtu kuwa ana akili katika eneo lake.

Hivyo kipimo cha kusema Mtu fulani ana akili zaidi kuliko mwengine hakipo na wala hakiwezi kuwepo na ndiyomana Diamond Platnumz ni darasa la 4 lakini kwenye eneo la kutafuta hela kawazidi akili Maprofesa kama kina Kabudi, Lipumba, Mpango na wengine wanaorogana kupata Ubunge.

Hivyo hata huyo Einstein alikuwa na akili kwenye eneo lake tu la Shule lakini sio kwa Watu wengine kwani hata mimi kwenye eneo langu hanizidi, hamzidi Messi kwenye eneo lake, Hamzidi Dangotte kwenye eneo lake na.k.
Umesema vyema hivi mpanda mbegu na mwotesha mbengu nani huwa na akili zaidi let now look majority hiki kinafaida gan zidi ya hiki hapo ndipo tunapata overall
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
7,816
2,000
Akili ni uwezo wa jumla wa utendaji kazi sawasawa wa ubongo wa wako.

Kuna tofauti kati ya mtu na mtu katika utendaji kazi wa ubongo na hivyo kuwa na viwango tofauti vya akili katika mambo maalum.
Kuna mdau nilimjibu huko juu kwamba akili ni matokeo. Akaona nimekurupuka kujibu.

Nikimaanisha kuwa akili hatuwezi kumjua mwenye nayo mpaka atuoneshe kafanya nini.

Ila mkuu kumbe upo.

Karibu sana mimi nipo katika huu uzi nikifuatilia mambo yanayochangiwa hakika najifunza mengi
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,955
2,000
mpumbav ww usrudie ten kuandika upuuz usiokuwa na uhakika nao,afrika ndyo babu, na baba wa technology zote kubwa hapa dunian ,mfano afya na tiba za upasuaj zilfanyika kipnd ambacho ao unaowasfia hawajajua hata kuvaa chupi,,these are the effects of mind slavery, wamewaaminisha hamkufanya lolote nawew kwa upuuzz wako na uvivu wa kusoma ukaamin, simple tu ustaharabu wote unaouona iv leo chanzo chake ni afrika, na napoongelea afrika sizungumzii kemet/Egypt pekee bal watu woote walioish afrika View attachment 1814744
Kwa hio babu yako ndio aligundua hio kitu? Acha uboya wa kudownload vitu kwenye internet na kuweka uonekane una point ya kuandika.

At the end, waliendeleza vipi hizo inventions zote unazozi download??
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,129
2,000
Kuna mdau nilimjibu huko juu kwamba akili ni matokeo. Akaona nimekurupuka kujibu.

Nikimaanisha kuwa akili hatuwezi kumjua mwenye nayo mpaka atuoneshe kafanya nini.

Ila mkuu kumbe upo.

Karibu sana mimi nipo katika huu uzi nikifuatilia mambo yanayochangiwa hakika najifunza mengi

Nipo mkuu Safuher, nami ninafuatilia michango yenu.

Ni kweli akili ya mtu hujulikana hadi pale mtu aonyeshe kafanya nini.
 
Mar 2, 2021
47
125
huu upumbv nan anawafundisha??? hiv akil inapimika?? can you measure something u never seen?, what's the nonsense talking about?? ..akili mnaijua ama mabwana zenu walivyo idefine nanyie kwa uvivu mkapigilia msumar hapo hapo??,,Akil ni nn? akili ni uwezo wa kutambua jema na baya kwa wakat mahalum, akili ni uwezo na utendaj kazi wa ubongo ktk mising inayohitajika, mfano kumbukumbu,utambuz wa lugha(mawasiliano) upembuzi wa talanta ya muhusika ama kiumbe,,napoongelea utambuzi wa talanta nazungumzia kijipengele kiduuuchuu cha sehem ya akil ambacho ndcho wazungu wanalazmsha kuita ndyo kaz kuu ya akil (IQ) utambuzi huu hujumuisha kuushughulisha mwili na ubongo ku concentrate kweny talanta ama kipaj cha kiumbe huyu ili kukinowa icho kipawa kwa kuvumbua&kuunda kitu kilichotokana na concentration ya ubongo ktk talanta hiyo...kumbukumbu sio kigezo kikuu cha akil, bal ni part ya akili,,kuna aina nyng za talanta ambazo znaingia ndan ya akil ambaz nikama uimbaji,uchongaji,uchoraji,kumbukumbu(kukakalili), kipaji cha kudadavua mambo na mahesabu, kuona maono na kutafsiri future ya jambo kabla halijaja., hayo yote ni aina za talanta ambazo kati ya hizo uyo mzungu weny alkuwa nayo moja, sasa huwez muita uyo anaakili sabbu alitumia sehem ya akil yake(talanta) kufanya alichopaswa kufanya, hivyo huwez sema kamzid fundi ujenz hiv leo anaejenga majengo hapa bongo ama msanii wa nyimbo hapa bongo sabbu wote wana akil na wote wametumua sehemu za akili zao kufanya lile linawapasa kufanua,,hakuna mwanadam mweny akil kubwa kumzd mwengine bali,tunatofautiana ktk hali ya uzngativu na matumiz ya talanta zetu that's whay wengine hunekana wanafanya maajabu, uku wengine wakifanya madudu,,ELIMU ILIYOTOKA NJE YA BOX NDYO TUNAYOIHITAJ HAPA BONGO, NA SIO HIZO COLONIAL EDUCATION ZINAZOWAFANYA WAAFRIKA MUJIONE INFERIOR MBELE YA RACES ZINGINE,,,AS AFRICAN TULISHA FANYA MAMBO MAKUBWA NA YAKUTISHA, NI VILE WATU HAMTAK KUJISHUHULISHA KUYAJUA MKO BIZE KUKALILI NINI MZUNGU KASEMA , NA SIO NINI ASIRI ILISEMA,,MARK THIS "colonial education will provide to you the enough to understand the enough, that whitemen target you enough education, not to the enough level you need to understand
hakuna point uliyozungumza hapo mzee unajua kila kitu unachofanya au kinachokufanya ufanye na ufaurahi chanzo chake kikubwa kimetokana na hao wanaoitwa ma genius mfano; Kama una akili kwanini usitengeneze gari au cm yako ukatumia, kwanini Usitengeneze gun au ndege yako, nk. unaponiambia maswala ya mafundi ujenzi au wachoraji hata hao pia wanatumia concept ambazo msingi wake mkubwa ni watu wenye akili zaidi. napata wasiwasi kuwa you are among of lowest Iq people (50-65) ifike wakati ukubali tu uwezo wako wa kufikiria ni mdogo mno kiasi kwamba unashindwa kubuni na kutengeneza vitu vyako mwenyewe. What a foolish man I like
 
Mar 2, 2021
47
125
Kuna mdau nilimjibu huko juu kwamba akili ni matokeo. Akaona nimekurupuka kujibu.

Nikimaanisha kuwa akili hatuwezi kumjua mwenye nayo mpaka atuoneshe kafanya nini.

Ila mkuu kumbe upo.

Karibu sana mimi nipo katika huu uzi nikifuatilia mambo yanayochangiwa hakika najifunza mengi
acheni kudanganyana kama wewe akili yako haina uwezo mkubwa usilazimishe tuwe level moja kubali tu kuwa kuna watu ni wapekee mno duniani!, pengine ungekuwa miongoni mwao wala usingepingana na mimi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom