Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,795
- 28,450
Mkuu tuambie gunduzi zako basi.Hiki kipimo huwa kina pima nini hasa ? Yaani vigezo vyake ni vipi ?
Kipimo sahihi kipo mzee,usiseme juu ya mambo usiyo yajua. Laiti ungejua maana ya akili basi katika wau wajinga walio wapata kuishi duniani Einstein ni mmoja wapo. Tukiamua kulijadili hili hakuna atakaye weza kunipinga au kunikosoa kwa hoja,kwamba Einstein si katika watu wenye akili.
Mimi binafsi kwa akili Einstein hanifikii,nasema tena hanifikii.