Kurutu wa Mungu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 366
- 571
Sasa unaenda mwaka wa tatu kisimbuzi cha DSTV kimekua hakionyeshi channels za ndani zaidi ya TBC1, SAFARI channel na ZBC nimekua nikiwauliza mara kwa mara lakini majibu yao ni mafupi sana, wanadai hawana idhini.
Je, kwanini visimbuzi vingine viruhusiwe halafu wao wazuiliwe? Kwa anaye jua sababu iliyopo nyuma ya pazia aniambie, maana sasa king'amuzi chao kimekua kero pale unapokuwa haujalipia.
Je, kwanini visimbuzi vingine viruhusiwe halafu wao wazuiliwe? Kwa anaye jua sababu iliyopo nyuma ya pazia aniambie, maana sasa king'amuzi chao kimekua kero pale unapokuwa haujalipia.